Recent content by hmasunga

  1. H

    Serikali iitishe harambee tuimarishe reli ya Dar - Kigoma - Mwanza

    Naunga mkono asilimia mia moja
  2. H

    Kagasheki: Msigwa analipwa na mafisadi kuwatetea

    uhuru?ni habari za kusadikika imetungwa iyo kwanza kijana gani hivi ss ambae anasoma uhuru?
  3. H

    Masogange awataja wamiliki wa mzigo aliokamatwa nao SA

    kumekucha ss na ndio mana naipenda jamiiforum bana
  4. H

    Uovu mkubwa CHADEMA, ni kuhusu vyanzo vya mapato!

    Jiangalieni kwanza ninyi Magamba mjisafishe na ndipo wengineo watajisafisha mana uko kwenu kila m2 ni msemaji wa serikali inakuwa kama jamii ya kambale wote wana ndevu huwezi kumjua Baba Mama Mtoto Mjukuu wote wana ndevu.
  5. H

    CHADEMA wametumia zaidi ya Milioni 950 Arusha

    [QUOTE=Mshume Kiyate;Ndio naona post yako leo kumbe na ww i Lumumba members?Wenzio toka jana na leo sijaona post zao cc HAMY~D(CHLIS LUKOS)(CHILL SAUSE)SIMIYU ONE)MWABEJA SANA)vijana wenzangu mmepotea sana anyway ha2jui labda wenzetu???????????????????????????????????????????????????mnafadhiliwa.
  6. H

    Takafuri: Ushindi wa Chadema Arusha...je, hali ingekuwaje kama hawa wasingepigwa marufuku?

    MAPUMA Simba mzee akikaribia kufa kwanza anakosa uwezo wa kuona kusikia na kunusa bt Ccm hawajioni kama wamekwisha zeeka
  7. H

    Diwani wa Arusha na matokeo ya Uchaguzi

    Leo nina furaha sana ngoja nikanywe Eagles beer.
  8. H

    Dhambi ya uwongo ndio kaburi la CHADEMA

    Ktk magazeti hapa Tz ukichelewa kuamka mpaka saa nne haukuti kopi hata moja kwa wauza magazeti ni DAIMA 2weni wakweli haswa kesho.Ayo mengine hayauziki.
  9. H

    Zoezi vitambulisho vya taifa kuanza Jumatatu

    Nilisha sahau kabisa habari hii anyway ye2 macho.
  10. H

    CHADEMA kuchukua nchi ni sawa na paka akitoka halafu panya watawale, KULUMBANA NA JESHI NI UJINGA

    Chris lukosi(hauna lolote uko uk nadhani ww ni mbeba mizigo2)ingawa unaishi abroad bt hauna upeo njoo 2shike jembe 2lime mbona vijana 2metoka kwa kilimo2 na maisha mazuri sana ha2tumiwi kama ww?pato langu kwa mwaka huu ni milioni arobaini na tano nikiuza mazao yangu kwa huu mwezi wa saba?je...
  11. H

    Ingekuwa vizuri sana polisi,TIS na JWTZ waanze ku deal na hawa Green Guard

    Kama jeshi la jwtz hawato futa iyo green guard nipo tayari kujiunga na iyo red guard .
  12. H

    Makambi ya mafunzo kwa 'Green Guards' wa CCM yavunjwe - Dr Slaa

    Nimeona post yake2 wala sijataka kusoma uyu jamaa sijui ana akili gani.
  13. H

    Inasikitisha, kesi ya DECI imetoweka bila pesa za watu kurudi

    Watanzania 2badilike sana hauwezi kupanda m.Taazao utegemee yatasitawi pasipo kupalilia palizi mbili hata tatu.Binafsi iyo deci niliskia na hata baadhi ya staff wenzangu walijiunga bt walilia na kusaga meno.Tatizo ss wa watanzania 2napenda vi2 vya mteremko hata babu wa loliondo alibuni2...
  14. H

    JK amgeuka Warioba

    Napita 2sina mengi yangu macho.
Back
Top Bottom