We mbulula kwelikweli! sa nguvu ya kupigana utaipata wapi kama hivyo vifaa huna vya kutosha na vya kisasa? kwani wanapigana makonde na mateke? Fikiria kabla ya kuandika mbulula!
:bange::bange::bange:
Amini amini nawaambieni ya kwamba yule unayemwona kama ndio rafiki yako kipenzi saaana kiasi hata mpenzi au mwenza wako anajua namna mlivyoshibana katika urafiki wenu ndo huyo huyo anakuja kuwa mbadala wako kwa mpenzi au mweza wako punde tu utakapokufa.
Najua wengi watajifariji kwa kusema...
Sina wasiwasi wa kuibiwa kwa vile game nampa la kutosha hata akitaka daily. Mawe nnayo ya kutosha wala hana shida ndogondogo za kurubuniwa kirahisi. Matatizo ya familia yake namaliza. watoto wanasoma shule imara. Labda wamvizie wambake. Mi mwanaume bwana!
Yaani we acha tu. Mtu unamgegeda mkeo kwa raha zote, tena wala huvai mananihino kunako eti kuongopa ngoma wala nini.
Yaani ni kutafuna tu pekupeku tena bila wasiwasi wowote ule.
Hata ukichunwa na mkeo wala huoni ubaya wake kwa vile anaendelea tu kustawisha mwili wake kwa ajili yako daima...
Nina uhakika kwa wale waishio mijini na hata katika baadhi ya vijiji aidha wamewahi kutapeliwa au kusikia mkasa wa mtu fulani kutapeliwa au kuibiwa kwa ujanja ujanja flani.
Mimi hapa nina mkasa mmoja ambao ulimtokea mwenzetu mmoja enzi tunapanga nyumba moja maeneo ya flani DSM.
Nyumba tuliyokuwa...
Shetani wa kaskazini? Kama akipangwa huyo agombee mi nitampigia wa upande wa binadamu. Nshakwambia kule kwa mashetani ni shetani mmoja tu ndo ananishawishi.
:bange:
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.