kuntubaby, usikate tamaa kuntubaby tupo wengi wenyew tatizo kama lako........hakika machungu tuyapitiayo ipo sk yatageuka kuwa faraja na kuyasahau yote haya.
mtihani MUNGU aliotupa ni kipimo juu ya imani yetu kwake. kama nabii ayubu alilala kitandani kwa mda wa miaka 18 akiwa mahututi na badae...
inategemea na hali ya masikio ya livyo.......wengine wakivaa hivyo vifaa ndo kabisa hawasikii........mm pia ni mhanga wa hilo tatizo na linanipa changamoto sana ila sijakata tamaa...cha kufanya atafute biashara ambayo yy atakuwa msimamizi na watendaji ni wengine...mfano awe na bajaji au ata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.