Tatizo la miguu kuwaka moto (neuropathy): Ushauri, Kinga na Tiba

Nilikuwa na huo ugonjwa zaida ya mwaka
Ulianza kama masihara baadae ukaongezeka
Nashukuru kupitia jamii forum doctor nimepata maarifa kidogo
Nikaenda google kikaongeza upeo kidogo hivi sasa namshukuru m , mungu nimepona kabisa na nimejitibu mwenyewe kwa kusoma soma tu mitandao..
Ulifanya ulifanyeje fanyeje mwenyewe
 
Kwa Tatizo lako la Miguu kuwako Moto na Visigino jaribu kupakaa Hina kwenye nyayo zako inasaidia sana kwa hayo matatizo yako na kwa jambo la Unene jaribu kuwa unatembea kila siku kwa umbali wa kilomita kama tatu au tano kwa kila siku utapunguwa na jaribu pia kuwacha kula vyakula vya Mafuta Mafuta na kila siku jaribu kuwa unakunywa kijiko kimoja cha Siki ya Apple itakuasaidia kupunguza unene wako.

MZIZI MKAVU, NAOMBA UMSAIDIE MAMA YANGU ANAUMWA MIGUU NA MGONGO, AMESHATIBIWA HOSPITALI KAMA ZOTE LAKINI NAFUU HAPATI
 
Ok. Nami Nina tatizo kama la kwako ni MDA mrefu sjapona . Kama utapata Sawa nshirikishe nami nkipata ntakushirikisha
Pole sana.jaribu ukapime vipimo vya ex lay uone kwenye pingili za uti was mgongo kuna nini
 
Pole sana.jaribu ukapime vipimo vya ex lay uone kwenye pingili za uti was mgongo kuna nini
Nilishakwenda kupima tena nilipima MRI sina hitilafu yeyote kwenye UTI wa mgongo. Ila kuna dawa nilipewa nashukuru imenisaidia Sana nipo shwari hivi sasa
 
Pole sana.sister ako pingili zilifanyaje na alitibiwaje na hali yake ipoje nmi ninatatizo la pingili kubanana na naendelea na matibabu
Kwakwel,im shocked! Tatizo linatokana na nin?
Je linaambukiza?coz my sister alishapatwa na ugonjwa wa pingili za uti wa mgongo,.je inahusiana?
 
Hongera sana,dawa zipi mdau ulipata zikakusaidia?
Lyrica tablets , neurobion tablets , amitriptyline tablets, Lexapro tablets , tranmed capsules, pristiq XR . Ila dawa hizi zitakuepo Tanzania Kwa trade mark nyingine. Mimi nilikuwa natumia nikiwa Thailand nilitibiwa na neurologist Dr Yuthana Huahin Bangkok hospital .
 
Naomba kupewa elimu juu ya kupata ganzi kunakoenda sambamba na kuwaka moto miguuni kuanzia kwenye vidole vya miguu ( Kanyagio la mguu) ambapo Nusu ya kanyagio kuishia vidoleni napata ganzi sana kiasi kwamba hata nikichomwa au kukatwa na kitu sihisi maumivu zaidi ya kuona damu tu ndio naweza kutambua kwamba nimeumia. Sambamba na hilo sehemu hiyo inayopata gazi inakuwa kama naungua moto kabisa. Naomba ushauri juu ya hili tafadhalini
 
Back
Top Bottom