Bado mchanga sana kisiasa, asubiri awamu ya Kapten Lowasa imalizike kama Mungu akipenda ndo afikirie kugombea urais. Tanzania siyo shamba la bibi kwamba kila mmoja anaweza kuwa Rais. Mtazamo wangu na kwa hakika kama vijana tukitaka kujikomboa rais pekee mwaka 2015 ni Mh. Edward Lowasa.
Napenda kuchukua fursa hii kuwajulisha CCM kwamba anayeweza kukinusuru Chama katika chaguzi zijazo ni Mh. Lowasa. Nayasema haya kwa kuwa chama kimekosa mtendaji na ndani ya chama mtendaji anayeonekana na kukubaliwa na wengi ni Lowasa. Ikumbukwe kuwa zao la vijana waliomaliza vyuo vikuu Tanzania...
Mh. Kingunge yupo sahihi sana, sadhani kama kuna mtu anayezuiwa kuonyesha au kuwaza anachokifikiri. Tusipende kulaumu sana. Mh. Lowasa hatoi rushwa kama wanavyosema, mbona wapo wengi wanaosaidia jamii hawaambiwi kama wanatoa rushwa. Upendo watu waliojijengea kwake ndo unafanya wamtafute ili...
Utajiri wa Lowasa ni wa muda tokea kwenye familia, hatakuwa na muda wa kutafuta biashara za familia kama wengine bali kuwakomboa wananchi, ata akina Sumaye, Sitta na Kina Membe ni matajiri wakubwa sana ila hawana uthubutu wa kiutendaji, wangewezaje kuona taifa linadidimia bila kumshauri rais...
Naamini kati ya watoto au wanafamilia wako kuna waliosoma shule za kata, au kufaidi mradi wa maji ya kutoka mto nile. Tusiwe wepesi kupingana na uwezo wa utendaji wa Mh. Lowasa.
Napenda kuwatakia watanzania kheri ya mwaka mpya wa 2014. Kwa utafiti mchache ila wa kina juu ya waziri mkuu mstaafu Mh. Edward Lowasa nimegundua kuwa, ndiye mtu pekee anayeweza kuleta mabadiliko ya kiuchumi, kijamii na kisiasa hapa nchini. Nchi imekuwa ikiyumba kwa mambo hayo matatu, si kwa...
Ni wengi mnafahamu kamba hutumika kufungia au kubebea baadhi ya vitu, ni dhairi kwamba kuna vitu vizito au vigumu ambavyo huwezi kuvifunga au kubeba kwa kutumia kwamba ya mgomba. Vinahitaji kamba ngumu na makini kama katani, manila na vingine ata waya.
Namfananisha sitta na kamba ya mgomba kwa...
Simshangai Nape Nnauye kwa sababu elimu yake na mawazo yake yameshikiliwa na watu. Hana maamuzi kama yeye, afikirii kama kijana na wala hana uzalendo kwa taifa. Tatizo ni kambi na umaskin uliokithiri.
Kikwete hajui alifanyalo na kamwe hajutii kauli zake, ni kazi ya Mungu kamuumba mja wake ila hakumpa uwezo wa kufikiri yajayo. Mambo ya muhimu hayaoni anashupalia upuuzi na uongo. Mwisho wake ni mbaya sana.
Wakati mwingine lazima busara ichukue mkondo wake, Pinda hajawahi kuwa chaguo la Kikwete ni situation ilifanya akafika hapo, wataendelea kumkashifu sana na kwa sababu hatumii busara ataendelea kuwatumikia tu, Mtu anayejiheshimu na kuheshimu utu wake lazima ange step down kuanzia juzi. Hakuna...
Wakati mwingine lazima busara ichukue mkondo wake, Pinda hajawahi kuwa chaguo la Kikwete ni situation ilifanya akafika hapo, wataendelea kumkashifu sana na kwa sababu hatumii busara ataendelea kuwatumikia tu, Mtu anayejiheshimu na kuheshimu utu wake lazima ange step down kuanzia juzi. Hakuna...
Ni muda mrefu sasa nimekuwa nikitizama mfumo mzima wa uongozi katika baraza la mawaziri Tanzania. Mawaziri wamesahau kabisa wajibu wao, wamejikita zaidi katika siasa mbovu za makundi na kufikiria zaidi uchaguzi mkuu ujao. Huo ni ufinyu wa mawazo unao lichimbia Taifa kaburi. Mawaziri watambue...
Napenda kuwapongeza wabunge wote walio na moyo thabiti wa kutetea na kupigania maslai ya Taifa. Ingekuwa vizuri kama wabunge wote wangefikia mahali wakawa na sauti moja na kupiga kura ya kutokumuamini mdhibiti na mkaguzi mkuu wa serikali na katibu mkuu kiongozi ili kumshinikiza rais kuwaondoa...
Kwa mfumo wa uongozi wa Tanzania kwa sasa nashauri kila mtu ale urefu wa kamba yake, kwasababu wote wanaotuhumiwa kwa rushwa wanasafishwa na serikal. Ni bora serikali ikahalalisha rushwa katika sehemu za kazi ili tujue moja, tumechoka kusubiri uchunguzi wa CAG ambao haujawahi kutoa ukweli
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.