Lowassa lowassa lowassa hoyeee! Safari hii liwalo na liwe na tutahakikisha vibaraka wenu enu wte hawatushndi katika safari yetu ya maumaini.watanzania umechoka kuchaguliwa rais safari hii ama zao au ama zetu.htutaki ujinga tena.
Mbona Edward Sambai unahangaika sana na jambo lisilo kuhusu? Kila mtu ana haki ya kufanya jambo lolote lile bila kuvunja sharia.Sasa dada yetu Bahati Bukuku kaamua kwa moyo safi kabisa kumtungiwa wimbo murua Mh.Edward Ngoyai Lowasa akimsifia kwa mazuri yote anayoyafanya kwa jamii yetu ya...
Mlikuja na hoja ya Ugonjwa mmeshindwa sasa mnaendelea kulialia nini? Tulieni sisi watanzania tufanye maamuzi sahihi mwaka huu tumechokwa kuchagua watu wa kubebwabebwa kwani wanaidhoofisha sana nchi yetu.LOWASSA ndio mpango mzima kwa sasa ili Taifa letu lisonge mbele.
Kwani mna hangaika sana na Lowassa? Kama hampendi ashinde hiyo Tuzo si make chini mpige kura zenu kwa hao mnaowapenda? Sisi watanzania tunampenda na kumjali sana Mh LOWASSA na tunaendelea kipiga kura nyingi mpaka jioni.
Nashukuru umetumbusha na sisi tulikuwa hatuna taarifa ya kumpigia kura Mzee wetu Edward Ngoyai Lowasa.Sasa hivi nimetuma msg nane za MM 13 ili ashinde maanahakuna zaidi yake.
Mkuu acha kutumika.Tumia akili zako mwenyewe! Unahangaika kutaja mambo bila kutoa maelezo ya kina.Safari hii naona wagombea wenu hawauziki sana ndio maana mmebaki kulalamika tu.
Naona team Membe mmeanza kutunga tunga uongo! Wiki mbili zilizopita mlikuja na ka heading fulani hivi mkitaka kumchonganisha Mzee Makamba na Mh.Wakawashtukia sasa mmekuja kwa mwanvuli wa Bakwata.Poleni sana.
Kwa kweli EDWARD NGOYAI LOWASA inaonekana ni tishio sanandani ya Chama cha Mapinduzi.Maana mh Lowasa toka amesema safari yamatumaini kwa watanzania inakaribia wale wote waliokuwa na nia ya kuwanianafasi ya kupitishwa kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM pamoja na wapambe waowalianza vilio na...
Kwa kweli EDWARD NGOYAI LOWASA inaonekana ni tishio sanandani ya Chama cha Mapinduzi.Maana mh Lowasa toka amesema safari yamatumaini kwa watanzania inakaribia wale wote waliokuwa na nia ya kuwanianafasi ya kupitishwa kugombea Uraisi kwa tiketi ya CCM pamoja na wapambe waowalianza vilio na...
Ndugu zangu kuna kitu nimeanza kujifunza na kukielewavizuri, na ukikiangalia au kukifuatilia kwa umakini utakigundua.Wengi wa wanaompingaLowasa katika safari yake ya katumaini kwa watanzania ni wale ambao wanahisi LOWASAakiupata Urais wa nchi yetu basi wao hawatapata nafasi yoyote ya uteuzi...
Nimekaa najiuliza hivi huyu aliyeandika hii habari ni Dialoau la?Kama kweli ni Dialo basi Rais alifanya makosa makubwa sana kumchaguaDiallo kuwa Waziri wa Nchi hii wakati ule.Pia niwapongeze wananchi wa ILEMELAkwa kumtambua na kujua uwezo mdogo wa kiuongozi alio nao na hatimae kumpigachini...
Safari yetu ya matumaini inakaribibia-Watashindana lakini hawatashinda mungu yuko nasi watanzania tumuombe Mungu azidi kumpa ulinzi Mh Lowasa ili aweze kutufikisha watanzania wote katika maisha yenye mafanikio makubwa.Amen
Watu wengine bana wanakera sana.Masaburi huyu kama angekuwa ni strategist mzuri angeshinda nafasi ya ujumbe wa Mkutano Mkuu wa Taifa kupitia Wilaya ya Ilala kati ya nafasi 5 zilizopigiwa kura na wajumbe lakini alianguka vibaya sana.Alishindwa vibaya sana kwa hiyo wala si mpiga kura katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.