Recent content by himaars

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwandishi Murtadi aliyemtusi Mtume SAW yu mahututi kwenye mashine ya kupumulia

    Naam! Mbwa Apigwe Kwenye Tukio.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hata ukipigika kiasi gani, usidiriki kufanya mambo haya

    Wasio mjua Mungu hapo ni Mtihani[emoji56]
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hupiganiwa na kutetewa wanadamu zaidi kuliko mwenyewe?

    Kama vita vya damu na nyama anae wahimiza baba yao! [emoji116][emoji116] Yohana 8 44 Ninyi ni wa baba yenu, Ibilisi, na tamaa za baba yenu ndizo mpendazo kuzitenda. Yeye alikuwa mwuaji tangu mwanzo; wala hakusimama katika kweli, kwa kuwa hamna hiyo kweli ndani yake. Asemapo uongo, husema yaliyo...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Mungu hupiganiwa na kutetewa wanadamu zaidi kuliko mwenyewe?

    Ungeweka kwanzs Agizo la Mungu lisemalo "Mnipiganie"! Nijuavyo Mungu kaagiza "Usiue"!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Singida: Watu 6 wafariki kwa ajali ya gari

    Tatizo ni la Abiria kushindwa kumkemea dereva aache mwendo kasi hadi anawaua[emoji24][emoji24] Watakao nusurika ndoo wanatangaza dereva alikuwa mwendo kasi! Naomba wahusika wawashughulikie watu wa hivyo bila huruma ili iwe Fundisho...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Marekani anatoa misaada kiduchu hataki Ukraine ashindwe wala kushinda sana, anataka vita iwe ndefu ili kumfanyia utafiti Urusi na Ukraine awe mdaiwa

    ww ulijua mrusi aliibalance vita Yetu na uganda ili auze silaha zake?? Mganda alimuuzia ndege vita! Sisi katuuzia heat seaking misilles (Streiler) za kudungulia ndege! Kama unakumbuka ndege za Amini kuna wakati zilitamba sana Mwanza, baada ya sisi kuishiwa mabomu ya kuzidungua! Kumwendea mrusi...
  7. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya2022 Yaliyojiri Uchaguzi Mkuu wa Kenya: William Ruto ashinda kiti cha Urais, apata 50.49% ya kura

    Katiba Inawaruhusu mkuu!
  8. H

    JamiiForums Tanzania Penzi langu na kijana linataka kunivunjia ndoa yangu

    Huna hata fedheha kwa ulicho andika??
  9. H

    JamiiForums Tanzania Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

    Elimu ya jandoni tuliyo ipuuza[emoji24][emoji24] Mkeo anachepuka huzijui hata dalili unakula uporo...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Naionya China, isijaribu

    Makovu ya vita hadi leo[emoji24][emoji24]
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ninaomba msaada nina tatizo la tumbo kujaa gesi na kupata choo kigumu

    Tatizo lako ni mgolo wa ndan! Tiba mbadala! [emoji116][emoji116] Paka mafuta ya nyonyo (local made sio ya viwamdanj mbarika unayapata kwenye maduka ya dawa Asili!) sehemu ya haja kubwa(anus) mara mbili kutwa! Wakati wa kulala paka utomvu wa alovera! Kabla ya kula ule chungwa.1 na yale maganda...
  12. H

    JamiiForums Tanzania Milioni 3 na mbususu wapi na wapi? Wanawake badilikeni

    Akifa au nikifa?!
  13. H

    JamiiForums Tanzania Naionya China, isijaribu

    Warejee vita yetu na Uganda badala ya kufunga mkanda miezi.18 hadi sasa mwamgwi upo
  14. H

    JamiiForums Tanzania Je, nibaki na Salim ambaye anataka kunioa mke mdogo au niendelee kumsubiri Frank ambaye haeleweki?

    Fanya jaribio hili utspata jibu! Andaa chakula kikiwa na ndizi.3! Mkisha maliza kula kila mmoja atakula ndizi.1; Ukiona ile ndizi ya.3 kaila yeye huyo atakuua na njaa! Ukiona anakuhimiza uile ww hiyo ndizi ujue huyo ni mnafiki! Ukiona kaimega ile ndizi kala ½ na nusu kakupa ww nawe ule...
Back
Top Bottom