Recent content by HILLARY MUSHI

  1. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Joyce Ndalichako, Katibu Mtendaji wa NECTA! "It's Time To Go!.

    plz kabla ya kuandika chochote fikiri kwanza mm na masters pia ni mwalimu mitihani waliyofanya f4 ni saizi yao hakuna kilichotolewa nje ya mada zao.....kwa ujumla wanafunzi wengi wao ni wazembe hawapendi kujisomea.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha pili 2012 hatimae yatolewa, mkoa wa D'salaam washika mkia.

    Safi............ifike pahala serekali itambue umuhimu wa waalimu yote haya ni kwa sababu ya kutokuwajali waalimu.
  3. H

    JamiiForums Tanzania University assignments collection.

    Jamani hi elimu si rahisi hivyo kama unavyofikiri....komaa kichwa mwanangu...vinginevyo wpe taarifa kijijini wakutafutie shamba.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hii mitoto iliyopo!!

    huyu dogo mwehu kichizi
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tabia na kabila

    haipo poa
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ukitongoza "changudoa" mombasa vumilia maswali

    haya bana..
  7. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya wanawake/mabinti

    geresho au mageresho
  8. H

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje?

    nimekupata ila hawa watu kuwatambu ni vigumbu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje?

    Uigizaji wao upo kwenye inshu mbali mbali mfano mtu tayari umemweleza yote kama kuishi nae lakini utakuta/nashindwa kuelewa kwamba hajiamini au ndo anajaribisha ili aone kama upo siriaz mara akutafutie rafiki yake wa kike akutege,akuzushi vitu vya ajabu ajabu ilimradi tu ukasirike so sijiu ndo nini?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje?

    Ni kwa muda mrefu nimekuwa nikitafuta wa kuishi nae, ila kila ninaye kutana nae na kuongea nae, mimi kwa upande wangu naona kama wanakuwa wanaigiza, sasa sijui nitamtambuaje anaye kuwa wangu wa kudumu...wadau mniambie
Back
Top Bottom