Tabia na kabila

Tabia na kabila

abunerimgaya

Member
Joined
Nov 13, 2012
Posts
78
Reaction score
15
Wamama watatu (mchagga,
mgogo na mhaya) walijifungua
watoto, bahati mbaya manesi
wakawachanganya, kuwatambua
ikawa vigumu, ikabid watafute
mbinu ya kuwatambua. Dokta
akarusha coin ya tsh20
ilipodondoka sakafuni, mtoto wa
kwanza akashtuka na kupepesa
macho, wakajua haka kachaga
(mabiznes pipo). Wa pili alipockia
ule mlio wa coin, kapanua miguu
wakajua kahaya, (kanawaza
ngono) katoto ka mwisho
kalinyoosha mikono wakajua
haka kagogo! (Ombaomba)
 
wenye makabila yao wakija!


Sikutegemea kama mtandao huu unaweza kuruhusu matusi na udhalilishaji wa jinsi hii. Naomba mitandao huu uwe unahakikisha unaruhusu tu entry zinazojenga jamii na siyo kuchefua watu.
 
sasa na wewe uliyeandika unaweza ukajiita great thinker kweli? mpuuzi tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom