Hii mitoto iliyopo!!

Mzururaji

JF-Expert Member
Apr 6, 2012
1,429
2,000
Ticha: how old is your father?
son: as old as i am
teacher: how it is possible?
Son: yes it is possible because he become father only after i was born

@@@@@@@@@
Baba: mwanangu nikuulize swali
mtoto:uliza baba
baba: assume unafukuzwa na simba mara ukaona mti ukaamua kuuparamia gafla unamwona nyoka mkubwa utafanya nin?
Mtoto:mbona rahisi hiyo baba
baba: jibu sasa
mtoto: kifupi naacha ku- assume kwa hiyo kutakuwa hakuna simba, nyoka wala mti unasemaje baba nimepata.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom