Recent content by High Def

  1. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Maumivu haya. Ugua pole.
  2. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Salamu nyingi kwa wazembe wote Tanzania.
  3. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Lmao, cheki kwenye BRT hupeleka watu :eek:
  4. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    You wonder what these idiots count as employment. Germany as at 2018 has 3.5 % unemployment rate na vitu zinaishi Bongo zinadhani ziko better. Nkt
  5. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    We ni zuzu wa Dar. Typical akili ndogo Make up gany apa?
  6. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Wewe huwa zuzu kweli. Nani amekwambia ni izo tu?
  7. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hapa artificial turfs kama hizo huwa hadi kule mashinani ushago. Sijui mnaturingia nini Gikambura pitch, Kiambu mashinani. Bomu, Mombasa Uwanja wa Mbuzi Bukhungu, Kakamega Camp Toyoyo
  8. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Artificial pitches zimejaa kenya
  9. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Haya tutakua tu humuhumu.
  10. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Sidhani kama Singida wanaweza kuhimili mashambulizi ya Gor kwa dakika 90. Leo wamedefend kuruka lakini Ingwe si Kogalo.
  11. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Singida wanakutana na babayao Gor
  12. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawa jamaa n zuzu qweli.
  13. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    SportPesa n babayao
  14. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    SportPesa deal na Everton ni 6.432 Billion Kshs. The sponsorship deal ilikuwa mara tatu ya ile ya Everton's former sponsors Chang na ivo ndio Chang walitolewa nje. Hull City almost 2 billion, also kuna Arsenal na Southampton. Na pia kuna Cape Town FC ya SA premier league whose sponsorship deal...
  15. High Def

    Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

    Hawa jamaa hawana idea pesa zenye sportpesa hutengeneza. SportPesa huingizaa 800 million Ksh per week kutoka tu kwa jackpot bets. Hii ni ata bila cha kuhesabu other bets, jackpot pekee. The sponsorships with EPL teams hu run to billions of Kenya shillings. acha hawa vilaza waendelee kunung'unika
Back
Top Bottom