Recent content by hibiscusTz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Bi harusi aliyetoroka apatikana

    Ni picha halisi. Doroth ni huyo aliyevaa gauni red & yellow
  2. H

    JamiiForums Tanzania Picha: Lowassa Kanisani Leo

    Kama ni kweli hii ni mbaya sana kwa Taifa letu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mramba wa TANESCO hueleweki, kazi imekushinda, jiuzulu!

    Bora hilo bomba lingeleta gas ya kuzalisha mw 1000 badala ya 300 ambapo tungekuwa tumeachana na umeme wa maji.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Gesi Mtwara: Bibi wa Msimbati, nimeamini maneno yako

    Hili la kukosa umeme linatutesa mno mno. Halafu tunadanganywa kama watoto wadogo. Ni kwa nini gas ya Mtwara izalishe mw 350 tu wakati mahitaji ya nchi yanafikia mw 1000 na wanajua mabwawa yatakauka? Tunaingia kwenye deni kubwa la gas na bado hatuna umeme wa kutosha. Mi machozi yananitoka...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mnyika amtetea vikali Dr.Slaa

    Dr Slaa ameiimarisha sana CDM bahati mbaya kwenye hiyo safari ya "train ya wanasiasa" ameshukia Tabora kabla ya kufika Kigoma
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ninamtunuku Freeman A. Mbowe nishani ya Rafidainian Order First Class, ROFC

    Amejitolea mno kwa nchi hii na kama anavyosema maisha yao huwa yako hatarini
  7. H

    JamiiForums Tanzania Paul Sozigwa amepotea katika mazingira ya kitatanishi

    Poleni sana Mch Sozigwa na familia. Huwa napenda sana mahubiri yako ya alfajiri Radio upendo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Binti wa miaka19 anahatarisha uchumba wangu, mchumba namuona mzee

    Maisha ya ndoa ni zaidi ya hicho unachokipata kwa huyo binti Tafuta elimu ya ndoa kwa walioko ktk ndoa, kusoma vitabu na kuhudhuria semin
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nani awe Waziri katika Serikali ya Magufuli

    Dr Mwakyembe
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Umeme: Ubungo darajani umeme walipuka

    Kwa watu wengine kuishi au kufa ni sawa tu. Hawajali kabisa usalama wa maisha yao.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Prof. Tibaijuka adhalilishwa mkutano wa kampeni za maoni CCM, Mkutano wavunjika

    Pole sana Anna. Sisi wengine tunajua wewe ni "iron lady". Siasa ziko rough na endelea kujifunza mbinu za kupambana.
Back
Top Bottom