Recent content by Hezroby

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mishahara mipya Novemba 2017 kuna ongezeko?

    Nyongeza ya anko , sidhani kamaitakuwa kubwa sana . hana mapenzi mema na watumishi...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kama Ndoto Zetu Zilishindwa Kutimia, Basi Tutimize za Wanetu!

    Ushauri mzuri sana kwa wazazi wenye kupingana na ndoto za wana wao, wajifunze katika hili..
  3. H

    JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Bila shaka jamaa , aligeukwa na mzungu huyo, wala siamini kama alikuuza kwa mzungu , kama engi wanvyofikiri. Na nachofikiri pia hana ndoto kabisa za kukupata tena na kuwa hakuna jambo mnaloweza kulijenga tena… (alikwishakata tamaa) Kwake ni heri asikusikiee ,
  4. H

    JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Sasa unataka mrudiane!!!? Halafu huyo mzungu na familia yanu itakuwaje, ukifanya hivyo kila kilichopo around u, kitapotea . je upo tayari kuyaishi maisha hayo?!
  5. H

    JamiiForums Tanzania My confession: Maji yamenifika shingoni, naamini ukweli humuweka mtu huru

    Yako mengi huko anakotaka kufukua ajue, bora aache kama ilivyo na aendelee na maisha aliyonayo. Maana kujua huko kunaweza kubadili kila kitu kwa ndoa yake na mzungu ambaye kwa maelezo yake anaonekana kuwa ni perfect husband...
  6. H

    JamiiForums Tanzania Ni kitu gani cha kijinga usingependa kufanyiwa au kuambiwa wakati ukifanya mapenzi?

    [emoji12] [emoji12] [emoji12]
  7. H

    JamiiForums Tanzania Mwenye tatizo kuhusu magari

    Ungenyamaza tu!
Back
Top Bottom