Point kuu...independent obsevers hawana madhara yyte regardless of their opinion kuhusu uchaguzi. Wengine huwa wameshalambishwa asali kabisa. Je umeona wapi uchaguzi wa nchi ya kiafrica ukatikiswa na independent observers hata uwe na madudu vipi??
Sasa hivi wanavuka mipaka....wanatuma meseji za udhalilishaji sana...mfano wanakutangaza shoga. Mbaya zaidi hawajulikanagi walipo yani uwezo wa kuwapata huna
Hisabati. Katika watanzania 1000, mmoja tu ndio anaweza kujiuliza kama wewe kipindi Cha uchaguzi
Kumbuka kipindi Cha Lowassa 2015...hakuna aliyejiuliza maswali ?
Hiki kitu nasema kila siku. Kuna wasanii walifika walipo kutokana na uhuru wa habari na uhuru wa siasa. Mpoto alikuwa mkosoaji "kiaina" wa mkwere. Masanja alikuwa anamwigiza Pinda, Kuna Lowassa na komba Hawa walikuwa wakiigizwq na mpoki na wakuvwanga.
Leo hii ukikosoa Serikali wanakushambulia...
Katika watu ambao CDM ilitakiwa iende nao kwa staha basi TAL. yani anachukua fomu mnajidai kama hamumuoni na mbowe naye anachukua mnaenda kwenye uchaguzi mnamchagua mbowe. Hapo Lissu anakuwa kwenye mtego wa demokrasia inabidibakaushe.
Lakini Lissu akishindwa kwa kujua kwamba kuna vijana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.