Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

Kura zinaibiwa vipi kupitia NIDA?

Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?
Ukiwa na uelewa finyu usihoji mambo mazito
 
Uchaguzi wa vyama vingi ulianza 1995, hii mifumo ya NIDA ilianza 2020 yaani Kuwa na network zinazoweza kuingiliana.

Kwahiyo anachotuaminisha Polepole huu wizi wa kura umeanza 2020, kabla ya hapo yaani 1995,2000,2005, 2010 wizi wa kura haukuwepo na mambo yalikuwa shwari bara na visiwani.
Wizi wa kura ulikuepo katika Analogy(masanduku ya kura yanasombwa na kupachikwa) way.Sahivi CCM wametoka kwenye huo mfumo ndio maana waliamua kufanya integration ya database yao,NIDA na tume ya uchaguzi hili zoezi liwe jepesi(kuna thread inaongelea ku-doubt idadi ya wapiga kura iliyotolewa na tume,unajua kwanini tume iliamua kutoa taarifa iliyowachanganya watu?)
 
Hebu nifafanulie ni ugumu upi wa kuchakachua matokeo kwenye database ya iNEC pekeyake,na iwe rahisi kwa integration ya hiyo mifumo mitatu...na Sheria yetu hairuhusu kupeleka matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani?
 
Philosophical thoughts by Bishop Benson Kalikawe Lwakalinda Bagonza (PhD)

WOTE TUKO NJIAPANDA: Tupande gari gani?

Humphrey Polepole ametuweka njia panda sote. Anayedhani hayuko njia panda, yawezekana tayari ni abiria wa gari la mbele. Tutafakari:

1. Kuna watu usipowasikiliza, ni hasara. Ukiwasikiliza ni hasara pia. Humphrey Polepole ni mmoja wao. Usipomsikiliza unakosa mengi. Ukimsikiliza, anakushawishi kutenguka katika basdhi ya misimamo yako. Chagua kwa hekima.

2. Nani ni bora? Shetani aletaye habari njema au malaika aletaye habari mbaya?
Tuangalie kwa makini vipa umbele vyetu:
-Mungu/Taifa/Chama
Vs
-Chama/Taifa/Mungu

Chagua kwa hekima.

3. Twaweza kumpuuza Humphrey Polepole. Je tutapuuza madhara ya kumpuuza? Chagua kwa busara kati ya kupuuza huku usiweze kupuuza madhara ya upuuzi wako.
Kama anasema uwongo anamdanganya nani? Mungu? Wananchi? Yeye mwenyewe?

4. Kama ni kweli tufanyeje? Kama ni uwongo tufanyeje? Kwa nini aliyoyasema yanafanana na imani na uzoefu wetu? Kwa nini wanaosema aliyoyasema ni uwongo hata wao wanajiona ni waongo?

5. Viapo vyetu viko njiapanda: kukiuka kiapo kwa kusema kweli au kutunza kiapo kwa kuficha ukweli? Tunapoapa twamwapia mwanadamu au Mungu? Tukishupaza shingo (Impunity), twamfanyia Polepole, Katiba, Katiba, wananchi?

6. Hatujui tumefikaje hapa. Tuna uwezo wa kujua tutokeje. Tulinde kura moyoni? Tutiki wakati imeishatikiwa? Tusubiri reform?
Tupige kura kuamua kama tuchague au tusichague?

Unyenyekevu si udhaifu
TURUDI MEZANI
UKWELI ULIOCHELEWA NI BORA KULIKO UWONGO UNAOFARIJI.
HAKUNA TOBA ILIYOCHELEWA
 
Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?
1. kura kuingizwa kwa nguvu zimeshapigwa/tikiwa.
2. Kufukuza mawakala ili wafanye yao
 
Hebu nifafanulie ni ugumu upi wa kuchakachua matokeo kwenye database ya iNEC pekeyake,na iwe rahisi kwa integration ya hiyo mifumo mitatu...na Sheria yetu hairuhusu kupeleka matokeo ya uchaguzi wa rais mahakamani?
Sijaelewa swali lako lakini kwa elimu yangu tu ndogo ya TEHAMA kutoka chuo kapuni ni kwamba ukishafanya intergration ya database kama alivyosema Mr.slow slow ni kwamba kunakuwa na kushare information.Maana yake ni kwamba Admin wa Database ya CCM anakuwa granted permission ya kuaccess,edit,delete or modify any data in other servers intergrated in the system(inategemea kapewa access ya namna gani).Ni somo gumu na lina upana wake nimejaribu kueleza ambacho ni chepesi kwangu na kwako(labda ungeuliza swali vizuri ningejua nini kinatakiwa)
 
Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?
Bado hujasema, utasema tu. Katazame ni wapi majumuisho hufanyika, na nani hutangaza mshindi. Ni hivi, za mwizi 40.
 
Uchaguzi wa vyama vingi ulianza 1995, hii mifumo ya NIDA ilianza 2020 yaani Kuwa na network zinazoweza kuingiliana.

Kwahiyo anachotuaminisha Polepole huu wizi wa kura umeanza 2020, kabla ya hapo yaani 1995,2000,2005, 2010 wizi wa kura haukuwepo na mambo yalikuwa shwari bara na visiwani.
Ameomba msamaha kwa aliyoshiriki huko nyuma. Ama hujasikia hilo?
 
Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
1755859583658.png
 
Uchaguzi mkuu tunawapigia kura madiwani, wabunge na raisi. Baada ya kupiga kura zinahesabiwa na matokeo ya kura za udiwani, ubunge na uraisi yanabandikwa kwenye kituo husika, Yale ya udiwani yanajumlishwa kwa ngazi ya kata na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa diwani. Ya ngazi ya ubunge yanajumlishwa kwa ngazi ya Jimbo na mshindi hutangazwa papo hapo kuwa mbunge wa Jimbo husika, ni za raisi tu ndio hutangazwa tume makao makuu.
Sasa najiuliza juu ya muundo ya huo mfumo wa wizi kwa ngazi ya Jimbo na kata upoje kupitia hiyo combination ya NEC+NIDA+CCM? Au hapo wahuni hawana interest kabisa kwa ngazi ya madiwani na wabunge?

Kura zinaibiwa hivi ndugu:

GE2025 - Polepole: CCM wanakwenda kwenye Uchaguzi sababu wana uhakika kushinda kwakuwa kuna mifumo inawabeba

Bila kusahau hili pia:

Polepole kuitisha mifumo ya uchaguzi na NIDA kuhusiana na CCM kukaguliwa, ili kujiridhisha ina maana gani kiufundi?
 
NIDA ktk uhai wake imeshuhudia chaguzi ngapi na kabla ya NIDA chaguzi zilikua halali?
 
Ameomba msamaha kwa aliyoshiriki huko nyuma. Ama hujasikia hilo?
Mimi binafsi Sina Cha kumsamehe kwasababu hana alichonikosea,,, vyama ndio vinaweza kunikosea ikiwemo CCM...

Mambo yote yanayofanywa na chama chochote chimbuko lake ni wazo la mtu mmoja , likajadiliwa na kukubaliwa na wengi.
 
Back
Top Bottom