Recent content by herry msagati

  1. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anafanya siasa za maendeleo bila kubagua

    Mataga na mazombi ndugu moja
  2. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Ole wenu mnaopanga kuvuruga Msiba wa Rais Benjamin W. Mkapa, Kesho Kichapo hadi mtachakaa

    Vijana wa lumumba vipi mbona mnakosa ustahimilivu[emoji16]tulieni tumpokee lisu and then hayo mambo mengine yaendelee.
  3. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Kuongezwa muda wa Urais: Askofu Emmaus Bandekile awaonya Rais Magufuli na Spika Ndugai

    Ikifikia hatua hiyo sisi wengine itabidi tuombe uraia wa nchi za jirani maana vurugu zitakazo kuja mbeleni hatutaziweza
  4. herry msagati

    JamiiForums Tanzania GE2020 Prof. Rwekaza Sympho Mukandala: Hatma ya CCM 2020 bado haijulikani

    Ushabiki mwingi kuliko analysis. Sent using Jamii Forums mobile app
  5. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Mamilioni wamehama CHADEMA kumfuata Lowassa kimya kimya

    Kama post za vijana wa kitanzania ndio za hivi basi ni msiba
  6. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Huyu atakuwa si mwenzetu(male)

    Napita ntarudi baadae
  7. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Wenye mbinu mbadala za kuing'oa CCM 2020 wekeni hapa!!

    Tusitoe mbinu bado mapema simnayajua majizi haya yataandaa mikakati mapema
  8. herry msagati

    JamiiForums Tanzania BAVICHA Muheza, Tanga: Kusoma ' Albadili' kwa waliompiga Mhe. Lissu risasi

    Mbona unaongea kwa sauti ya chini mkuu kulikoni? Kama huusiki usiwe na pressure.... Sent using Jamii Forums mobile app
  9. herry msagati

    JamiiForums Tanzania UVCCM kuchangia mil 7 matibabu ya Lissu bila kamera,nimeamini kuna utu baada ya siasa.

    Unafiki tu huo mbona kamanda Mawazo alipouliwa hawakuchanga? Wapeleke huko lumumba wakagawe kwa omba omba. Sent using Jamii Forums mobile app
  10. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Uongo wa CHADEMA waanza kuwatokea puani, Lisu alivaa shati la Blue na si Jeupe wakati wa tukio

    Yaani wewe ni ziro brain kbs waambie waliokutuma upost hawatutoi kwenye reli time will tell. Siku hazigandi Sent using Jamii Forums mobile app
  11. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Wameuawa Polisi 10 Viongozi wa vijiji 30 na Raia 3 huko Kibiti,Ikwiriri na Mkuranga..Wanaharakati kimyaaa!

    Mhalifu wa kwanza wewe, umewaona hao tu mbona kuna watu wamepotea husemi, kuna mtu anaitwa mawazo aliuliwa kinyama hakuna kilichoendelea. Pumba zako hizi peleka lumumba kwa mzee wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. herry msagati

    JamiiForums Tanzania Adui yetu mkuu ni wanaopingana na juhudi za Rais

    We akili yako mbovu sana sio lazima wote tukubaliane na anachofanya rais, binadamu tumeumbwa tofauti unaweza kuwa mkiristo me muislam wewe mgogo mimi msambaa wewe chama zilipendwa mimi chadema mpaka hapo angalau hata kama hauna shule utakuwa umeelewa kdg kwann hatuko sawa. Sent using Jamii...
  13. herry msagati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Shabiki wa Yanga SC ahamia Simba SC baada ya mwanae kulipiwa fedha za matibabu katika Taasisi ya Moyo ya JKCI

    Upoyoyo huo mbona manara tulimchangia na hakuhama? Basi na mrema arudi chama cha zamani ccm maana ndio waliomtibia..... Sent using Jamii Forums mobile app
  14. herry msagati

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuwe wakweli, bila DIAMOND PLATNUMS, bongo flava ingekuwa kimataifa haipo/ imekufa kama bongo muvi.

    Yaani hata kuandika hujui sijui una matege ya mikono? Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom