Wengi wenu akili sijui mnaziacha wapi? Hivi kwa akili zenu aliyofanya Makonda ni initiative yake yeye Mwenyewe? Yaani mnaona kivuli lakini jua au unakotoka mwanga hamuoni? Ajabu.
Suala la ugaidi inatakiwa kuliangalia kwa upana. Sio kwa kundi au nchi. Hili ni tatizo la dunia nzima kwa sasa. Sio Marekani au Ulaya peke yake. Kwani walipopiga ubalozi Dar na Nairobi waliokufa ni wamarekani tu?
Kama una unaamini US ni world super power na ana influence kwenye uchumi wa dunia...
Hii vita sio kuwa ni ngumu. Lakini yale maneno ya Mwalimu aliyoyasema wakati anataka kumpiga Idd Amini (Nia, Uwezo na Sababu) - kwa vita hii ya dawa kunachokosekena ni NIA. Dhamira haipo. Ndio sababu unaona wanaosumbuliwa ni hawa watumiaji na wasambazaji wa chini. Kama dhamira ipo wawakamate...
Suala la hawa traffic police nadhani imefika wakati tuache unyonge. Hii nchi yetu wote. Mambo muhimu ni haya;
1. Tufanye bidii tujue sheria za makosa ya barabarani. Kama kuna mtu anaweza kuziweka humu jamvini afanye msaada huo. Tuwe na uhakika kwanza sheria inasema nini? Yaani haki yako ni...
Inategemea neno masikini kwako lina maana gani. Wewe unekurupuka? Umasikini wako unalingana na umasikini wa wengine?
Kama hujaelewa, hebu wewe na mzee Mengi nendeni bank mkaombe mkopo uone nani atapata. Anayekopesheka maana yake ana uwezo wa kulipa rudi shule wewe.
Haya mapendekezo ni mazuri na rahisi kwenye mdomo au karatasi kuyatekeleza sasa! Hata Rais pamaoja na madaraka yake hawezi kubadili kila kitu kwa siku moja au mwaka mmoja. Magufuli ana mwaka mmoja ofisini, lakini watu wengi wanamuuliza masuala yote aliyoahidi. Wanachosahau ni kuwa ahadi hizo ni...
Hata Kikwete alikua na wimbo huo. Unajua suala la mafisadi ni kama issue ya dawa za kulevya. Mahakama inafanya kazi kwa sheria. Na ili kumtia mtu hatiani ni lazima iridhike na ushahidi. Sasa hata kama fulani "ANASEMEKANA/ANATUHUMIWA" kuwa ni fisadi, nani ana ushahidi wa kuiridhisha mahakama ya...
Mimi pia nimeona hilo. Lakini kwa sababu hatupendi kuambiana ukweli kwa ajili ya kuboresha hasa katika international stages kama hii golden chance inabidi kumsifia tu.
Hata hivyo, amafika mbali. Na ana talent. Tumpe support apande juu zaidi.
Hongera Diamond!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.