Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,382
- 7,817
NMB mungu anawaona! nlikuwaga natumia NMB mobile kkwa zaid ya miaka mitatu sasa! kitu ambacho sikuwa na muda nacho ni kuangalia nakatwa bei gan ninapohamisha ela!
leo nimejaribu mambo mawili
1. nimehamisha elfu 10 kutoka tigopesa kwenda NMB nikakatwa elfu 1 yaani buku!
2. kimbembe kurudisha ela kutoka NMB kuja tigopesa wamekata 4000!
natangaza rasmi kuachana na huduma hii! hadi wakat huu wa serikali awamu ya 5 mnakamua kiwizi wizi hvo? elfu 10 kwa elfu 4 kweli? dah sasa itabid nikaombe statement kwa mwaka mzma nitathmin mmeniibia ngap
shame on you NMB!