Aurora
JF-Expert Member
- May 25, 2014
- 7,308
- 5,270
Natumaini mnaendelea vizuri,
Kuna kitu huwa sikielewi vizuri pale ambapo traffic police wa Victoria/Makumbusho au Sayansi wanaruhusu njia tatu kwa wanaotoka posta ila traffic police wa kuanzia bamaga wanakamata kwa kutanua.
1. Je, kuna tatizo kwenye mawasiliano yao kwenye utendaji wao wa kazi?
2. Je, ni njaa inapelekea kucheza njama kama hii, kwamba wewe ita njia tatu alafu mimi huku nakamata?
Au shida ni nini hasa.
Mchana mwema