Recent content by Herman ricci

  1. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania Mikasa ya ajabu niliyoishuhudia kwa macho yangu

    Story za jf ni zakiseng,hawamalizii story mkitaka hela mnasema shwain
  2. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Mmbwa wewe hata watu wanaomtumikia shetani wanaijua nguvu ya Mungu.jua kwamba Kila kisemwacho kipo na Kama hakipo basi kinakuja,swali lako halina mwisho ukishamjua aliemuumba Mungu hutoishia kuuliza hapo utataka kujua aliemuumba Mungu kaumbwa na nani so Mungu ni mmoja hazeeki Wala hafi yeye Yuko...
  3. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania UKWELI MCHUNGU: Wazazi wengi hawana upendo wa kweli

    Hii ni kwaajiri ya wazazi masikini ambao hawakujijenga wao kimaisha,mwisho wa siku wanaweka nguvu kuwekeza kwa watoto zao ili waje wawasaidie baadae lakini mzazi mwenye akiri anabalance vyote yeye ajiimalishe kiuchumi akizeeka asipate shida yoyote na huku akimtengenezea mtoto wake njia za...
  4. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania Anayejua Viwanda vilivyojengwa na Hayati Rais Dkt. John Magufuli anioneshe vilipo

    Ajira nyingi za vijana zipo kwenye biashara,viwandan Kama ulisubiri magufuri akujengee kiwanda umefeli
  5. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania Watanzania tusiogope bali tuwekeze. Kuna Fursa za biashara zenye faida katika sekta ya mafuta na gesi Katika Taifa letu

    Uwekezaji wote ulioulekeza ni mzuri sana ila ukiwa na pakuanzia namaanisha kipato hasa kwa si wenye vipato vidogo,but shukran kwa kutoa muangaza kwenye hizo sekta
  6. Herman ricci

    JamiiForums Tanzania Mahusiano na huyu mwanamke siyaelewi kabisa, sielewi ananichukuliaje

    Mchunguze kwa makini ujue anaupendo kwerii licha ya yote anayokufanyia,Kama utathibitika machoni pako muoe but Kama dini yako inaruhusu,ila kupendwa raha bhana lakini kwa tunaopendwa😁
Back
Top Bottom