Recent content by HERBSAM16

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ni hela kiasi gani imetumika kubadili furniture za magogoni na hela hiyo ingenunua madawati mangapi?

    Hizo walozotoa wamepeleka wapi?..
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Makongoro ni lofa mwenzetu. .sema hajijui..mabwanyeye wananmtumia vibaya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Makongoro hadi leo anaishi kwenye himaya alizoacha mwl jkn..
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hivi unaweza kumlinganisha Ridhiwani Kikwete na Makongoro Nyerere?

    Makongoro choka sana..hadi leo bado anaishi kwa mwalimu jkn
  5. H

    JamiiForums Tanzania Miraj Kikwete: Mimi na dada yangu Salama hatumiliki Kampuni ya Simba trust

    Huu mfumo wa kiimla ambao umezoeleka na kuufanya ndo mfumo wa maisha ya kila siku mwisho mwaka huu
  6. H

    JamiiForums Tanzania CCM: Tutajibu mapigo, hata sisi tunajua kuzomea

    Sasa wewe uko peke yako unazomea mafuriko
  7. H

    JamiiForums Tanzania Alisema Albert Einstein mwaka 1950

    Nazipendaga sana qoute zake... Kuna hii nyingine alisema "Problems can never be solved by the same level of thinking that created them" Matatizo hayawezi kutatuliwa kwa akili ile ile iliyozalisha matatizo hayo.....
  8. H

    JamiiForums Tanzania Alisema Albert Einstein mwaka 1950

    Alishasemaga pia " The highest level of madness is keeping on doing the same thing in the same way then expecting the different results"
  9. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa is officially jobless

    Hujui unachoongea
  10. H

    JamiiForums Tanzania Chadema hii sasa sifa!

    Wamepanic
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nape: wingi wa watu sio wingi wa kura

    Amepanic bro
  12. H

    JamiiForums Tanzania Nimeota CCM inashinda Uchaguzi - Safari ya ndoto

    Siku ukiota umekuwa wakike itakuajee
  13. H

    JamiiForums Tanzania Cyber law kuanza September Mosi

    Kikubwa ni kujizuia kupost vitu vitakavyowakwaza wengine moja kwa moja....kuanzia hapo sheria itakapoanza kutumika.. Sheria inakaza mtu kutiwa hatiani kwa tendo lolote ambalo wakati anafanya halikuandikwa kuwa ni kosa.......'mtu yeyote hapaswi kuhukumiwa kwa tendo lolote lile ambalo wakati...
  14. H

    JamiiForums Tanzania Cyber law kuanza September Mosi

    Hii sheria itakosa mashiko..so itakosa uhalali wa kisheria wa kuwatuhumu na kuwatia hatiani washtakiwa Nilishapata kusema humu ndani siku moja kuwa ili kosa lidhihirike kuwa ni kosa ni lazima basi pawepo na uhusiano kati ya "Mens rea" na "Actus reus"...hayo ni maneno ya kilatini... Mens rea ni...
  15. H

    JamiiForums Tanzania Hivi Watangazaji wa Clouds FM wana shida gani?

    Hao jamaa siwapendagi..tulupowapenda kipindi kile wakavimba kichwa...sasa tutawasusa kama tbc
Back
Top Bottom