njeeseka
JF-Expert Member
- Oct 19, 2012
- 1,374
- 985
Akielezea mbele ya waandishi amefafanua "mafuriko ya lowasa si chochote kwa el nino ya Dr Slaa mwaka 2010 pale mbey". -Watu tumeumbwa kusahau matukio lakini google itatusaidia kumaliza ubishi. Watu wasidanganyike wakatoa majicho yao wameibiwa kura wakati kura hazipigwi na vibaka bali wapenda maendeleo. Hamasisheni waache gongo na bangi wakumbuke kupiga kura. Habari ndio hiyooo