CCM: Tutajibu mapigo, hata sisi tunajua kuzomea

masisiemu yazomewe tuu,maana hakuna namana nyingine.
 
Wabunge wenu ndio chanzo mkizomea mtapambana Na wananchi sio vyama
 
Mkuu wanajua ila wanajifanya hamnazo! Me mwenyewe nilikuwepo Kariakoo siku wanazomewa, kiukweli wale waliokuwa wanazomea siyo Chadema, CUF wala NCCR! Wale ni wananchi wa kawaida kwanza hata kadi ya chama chochote hawana, isipokuwa ni machinga waliochoshwa na mfumo mbovu unaochukua vitu vyao kupitia mgambo wa manispaa pasipo kuvirudisha! Wengi wanadai kuwa wanamiliki "vichinjio" walivyopewa na NEC wanasubiri Oktoba 25 wavitumie! Wanadai wamechoshwa na Serikali dhalimu inayowanyanyasa, kwahiyo CCM wasipoteze muda kutafuta mchawi ilihali mchawi ni wao wenyewe!

Dawa ya hao "wananchi wa Kawaida" inachemka wakianza kunyweshwa zisisikike kelele za kuwa ni wafuasi wa Vyama vyenu. Wenyewe mmeshasema sio Wafuasi wa Vyama vyenu
 
Hata Taifa stars ilipokuwa inafanya vibaya wafanyakazi wa TFF walikuwa wanazomewa mitaani walipokuwa wanapita na magari yenye nembo ya ofisi yao
 
Nape ulikuwa wapi kabla Polisi Tanzania kutoa katazo la kuacha kuzomea........wananchi ni wasikivu na hufuata sheria bila shuruti na ndio maana wametii makatazo ya Polisi Tanzania..sasa wewe kuanzisha tena inaelekea una lako jambo.
 
Hatimaye katibu mwenezi wa maccm ametishia wale wote wanaowazomea wanaccm wanaovaa nguo za kijani na wao watajibu mapigo. Na wao wana midomo ya kuzomea pia. Source..itv..

Watazomea wapi? Pa mwisho kuzomea palikuwa Bungeni huku mitaani wanazidiwa na zomea zomea ya Ukawa ndiyo maana wameomba misaada kwa polisi , ina maana sasa hawawaamini pilisi tena? Iweje Kova awasaidie kisha Nape anakuja na amri ya kuwaambia ccm nao wazomee. !
 
Nape ulikuwa wapi kabla Polisi Tanzania kutoa katazo la kuacha kuzomea........wananchi ni wasikivu na hufuata sheria bila shuruti na ndio maana wametii makatazo ya Polisi Tanzania..sasa wewe kuanzisha tena inaelekea una lako jambo.

Huu ni uchochezi pia ni dharau kwa polisi kwani polisi walikuwa tayari kazini kudhibiti hiyo hali lakini Nape kachochea moto 🔨📢 wananchi watarejea kuzomeana tena, wapi Mtikila? Mzee mtikila tunakuomba mfungulie mashitaka Nape kwa kuhimiza zomea zomea
 
Miongoni mwa watu watakaolipeleka taifa hili pabaya ni katibu mwenezi wa ccm
 
Hatimaye katibu mwenezi wa maccm ametishia wale wote wanaowazomea wanaccm wanaovaa nguo za kijani na wao watajibu mapigo. Na wao wana midomo ya kuzomea pia. Source..itv..

Asilimia kubwa ya wapiga kura wa mwaka huu ni vijana, pili kuna kila dalili ya ongezeko kubwa la wapiga kura mwaka huu, na ambao wamehamasika kweli. Sasa tatizo ninaloliona ni kejeli na lugha zisizofaa kwa baadhi ya viongozi waliolewa madaraka. Unapowaita hawa potential voters WANYWA VIROBA, WAHUNI n.k unategemea nini in return? Wakati wewe umefanya maisha yake ashindwe kunywa bia 2 au 3 ?? Na wakati huo huo anajua fika wewe umechangia ugumu huo? Unategemea kweli ukipita akupigie makofi? Halafu viongozi hawa ni watu wa ajabu sana, vijana hawa walipokuwa wanakunywa gongo sana walikuwa wanasema wakamatwe! Sasa wanakunywa pombe halali na TRA wanapata mapato wanawadhihaki!! Mtaacha kuzomewa kweli?
 
Zomea zomea haitakwisha mpaka 0ctober 25 zomea zomea k/koo itakuwa imeshika kasi zaidi.
 
Asilimia kubwa ya wapiga kura wa mwaka huu ni vijana, pili kuna kila dalili ya ongezeko kubwa la wapiga kura mwaka huu, na ambao wamehamasika kweli. Sasa tatizo ninaloliona ni kejeli na lugha zisizofaa kwa baadhi ya viongozi waliolewa madaraka. Unapowaita hawa potential voters WANYWA VIROBA, WAHUNI n.k unategemea nini in return? Wakati wewe umefanya maisha yake ashindwe kunywa bia 2 au 3 ?? Na wakati huo huo anajua fika wewe umechangia ugumu huo? Unategemea kweli ukipita akupigie makofi? Halafu viongozi hawa ni watu wa ajabu sana, vijana hawa walipokuwa wanakunywa gongo sana walikuwa wanasema wakamatwe! Sasa wanakunywa pombe halali na TRA wanapata mapato wanawadhihaki!! Mtaacha kuzomewa kweli?
Nchi haikuwa imepata Uhuru sasa ukawa wanaenda kuleta Uhuru.
 
hili tangazo la magufuli ni kero kwetu sisi members wa JF. Liondoeni kabla hatujaanza nalo kulizomea.

Si uondoke JF ...alafu huyu ndio raisi wako so may be uhame nchi kabisa ili usijemsikia wala kumuona
 
Asilimia kubwa ya wapiga kura wa mwaka huu ni vijana, pili kuna kila dalili ya ongezeko kubwa la wapiga kura mwaka huu, na ambao wamehamasika kweli. Sasa tatizo ninaloliona ni kejeli na lugha zisizofaa kwa baadhi ya viongozi waliolewa madaraka. Unapowaita hawa potential voters WANYWA VIROBA, WAHUNI n.k unategemea nini in return? Wakati wewe umefanya maisha yake ashindwe kunywa bia 2 au 3 ?? Na wakati huo huo anajua fika wewe umechangia ugumu huo? Unategemea kweli ukipita akupigie makofi? Halafu viongozi hawa ni watu wa ajabu sana, vijana hawa walipokuwa wanakunywa gongo sana walikuwa wanasema wakamatwe! Sasa wanakunywa pombe halali na TRA wanapata mapato wanawadhihaki!! Mtaacha kuzomewa kweli?
tena nape na kinana hawajui hiyo kodi inakatwa kwenye kiroba ndiyo inamlipa mshahara na posho?? Pumbavuu Sana akili zao zimekaaa kuiba iba tu
 
Hatimaye Katibu Mwenezi wa CCM ametishia wale wote wanaowazomea CCM wanaovaa nguo za kijani na wao watajibu mapigo. Na wao wana midomo ya kuzomea pia.

Chanzo: ITV

Huyu jamaa kichwa kimejaa kamasi badala ya ubongo. Ukizomea na wewe what next
 
hili tangazo la magufuli ni kero kwetu sisi members wa JF. Liondoeni kabla hatujaanza nalo kulizomea.

ukiona hivyo kashapewa mtu hela ya Bia 2, 3.... sio E.D wapo wengi wanatowa helaa. ndio Sumaye akakimbia
 
Mtajibu au nyie mnajibiwa?? Zome zomea ni tabia iliyo anzishwa na wabunge wa Ccm, sasa siui kwanini Kova hakuwakataza ankuja kukataza wanao jibu??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom