Recent content by Herbalist Dr MziziMkavu

  1. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Joseph Kabila atangazwa kuwa kiongozi wa kundi jipya la kijeshi na kisiasa DRC

    Kongo DRC inaelekea kwenye mgogoro mkubwa sana, mgogoro huu unaweza kuibua vita ya tatu ya Kongo. Felix Tshesekedi anasema “Nataka niape kwa mara ya pili, kwa sababu ya kuilinda nchi yangu Kongo dhidi ya maadui.” Joseph Kabila aliyeitawala Kongo kwa Miaka 18 kaibuka tena kaunda kundi la Waasi...
  2. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Masudi Kipanya Awauliza Maswali Wa-Tanzania Mpaka sasa hajapata majibu Je Munaweza kumsaidia kumjibu maswali yake?

    Tajiri namba moja Afrika atoa ujumbe mzito kuhusu maendeleo ya bara la Afrika! Aliko Dangote, mmoja wa matajiri wakubwa zaidi barani Afrika, amesema katika mahojiano na BBC kwamba Waafrika hawawezi kusubiri watu kutoka nje waje kuwaendeleza. Kwa maoni yake, Waafrika wenyewe wanapaswa kuchukua...
  3. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Masudi Kipanya Awauliza Maswali Wa-Tanzania Mpaka sasa hajapata majibu Je Munaweza kumsaidia kumjibu maswali yake?

    5 Spectacular Cities in Europe These and the best cities in Europe and you should absolutely add them your Bucket list. Brandenburg Gate in Berlin, Germany This article may contain affiliate links through the Brevité and Amazon associate’s program. If you purchase an item using one of my links...
  4. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ripoti: Tanzania ya Pili Afrika kwa Wagonjwa wa Kisukari, kiwango chaongezeka kwa Asilimia 250 tangu 2011

    Ulaji wa Vyakula Mbovu / Wanga Uliokobolewa na Mafuta (Junk Food)Ndio chanzo kikubwa cha maradhi ya kisukarinchiniTanzania na haswa ulaji wa chakula chenye wanga aka Ugali aka unga wa mahindi ndvyakula feki aka junk foods maandazi chapati vitumbuwa na kadhalika ndivyo vinavyo sababisha Tanzania...
  5. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Emmanuel Macron Raisi wa sasa wa Ufaransa ana Umri wa miaka 48, Mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25.

    Emmanuel Macron raisi wa sasa wa Ufaransa ana umri wa miaka 48, mke wake Brigitte ana miaka 73, yaani Macron kazidiwa miaka 25. Huyu mke wake ana watoto wawili, yani Sebastien mwenye miaka 50, na Laurence mwenye miaka 49. Mtoto wa kwanza wa Brigitte ni Sebastian ambaye alikuwa classmate wa...
  6. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Je wewe ndugu yangu kazi Hii unaiweza?

  7. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Embu mmoja akanitangazie huko Serikalini na mimi Kuna ka Coaster kangu nakauza kapya kabisa.... 250M, Serikali ituungishe Watu wake

  8. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Sheikh Roketi aka Sheikh Mussa bin Ali Alimuota Mtume Muhhamad S.a.w mwaka 1960 akamwambia utakwenda Hija zaidi ya mara 40 na alikwenda kweli mara50

    The man pictured is Ali bin Musa, more commonly known as Shaykh Musa Ali "Rocket". He was a deeply respected East African Islamic figure from Tanzania. The Background of the Narrative According to well-known biographical profiles—notably documented by renowned British photographer Peter Sanders...
  9. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Picha Yangu Ya Leo Hii ijumaa

    HOW DO YOU EXPLAIN THIS?
  10. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Unatoka Kazini Muda kama huu Kisha Pap Unamkuta kiumbe huyu anatoka nyumbani kwako endelea

    UNATOKA KAZINI MIDA KAMA HII Unampigia mkeo simu halafu haipokelewi,unaamua tu kuelekea nyumbani Ile unafika ndani ya Uzio wako,kabla haujaingia ndani unakuta Mzee mzima SAWAKA Ametuna na ametulia hapo kwa kushiba Vipi utaingia kuhakiki kwanza usalama ama utaanza Na mshukiwa Namba moja...
  11. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania rais Wa Iran Akihutubia Umoja Wa Mataifa Sisi Sio Magaidi Sisi Ni Waathirika wa Ugaidi

    Raisi wa Iran leo kazungumza na dunia mbele ya mkutano wa wakuu wa nchi na serikali wa umoja wa Mataifa UNGA wa 81, Hotuba yake ilikuwa inasubiriwa kwa hamu na shauku kubwa ili kupata muelekeo wa Iran juu mambo makubwa mawili. 1- Msimamo wa Iran baada ya vita ya siku 100 ya Marekani na Israel...
  12. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Mambo usiyajuwa Kuhusu Vioo Unavyotumia Nyumbani Kwako

    Imani ya kale zaidi duniani kuhusu kioo inasema hivi: Taswira yako kwenye kioo si picha tu. Ni sehemu ya nafsi yako. Katika tamaduni za kale, watu waliamini roho inaweza kujitenga na mwili na kuonekana kwenye maji yaliyotulia ama kwenye kioo. Kitu chochote kilichovuruga taswira hiyo...
  13. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati.

    Tanzania imetoa wito wa kulindwa kwa raia, kuruhusiwa kwa msaada wa kibinadamu bila vikwazo na kuhuishwa kwa diplomasia yenye lengo la kupata amani ya kudumu katika ukanda wa Gaza na Mashariki ya Kati. Akihutubia Kikao cha 81 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa Septemba 22, 2026, Makamu wa Rais...
  14. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Ipe neno Moja Picha yangu Ya Leo usiku

  15. Herbalist Dr MziziMkavu

    JamiiForums Tanzania Nachoka!!🤣🤣🤣

Back
Top Bottom