Recent content by HenryLugano

  1. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua gunia la mchele la debe kumi ni sawa na kilo ngapi??

    Ebwana shukrani sana ndugu yangu
  2. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua gunia la mchele la debe kumi ni sawa na kilo ngapi??

    Mada kama inavyojieleza hapo ndugu zangu, naomba mtu mwenye ufahamu wa hili anisaidie
  3. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Poa poa thnx bro
  4. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Bro hebu tutajiane hizo kampuni za kubet tutie mizigo
  5. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuni gan hiyo ya betting??
  6. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Kampuny gan hiyo ya betting??
  7. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

    Hiyo ni campun gan ya kubet??
  8. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Lowassa ndiye mhusika wa Richmond

    When decisions are made by citizens it is very hard to change their mind.The issue is we are tired of capitalist system of CCM.My vote goes to Lowasa tomorrow
  9. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Aisee the most hated team in epl ni chelsea.Tuachieni timu yetu basi
  10. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Uzuri wa kuwepo ICC

    Stupidity on you.Umesikia wapi ukawa wanaongea kuhusu kuangamiza dini zingine hebu fikiria kabla ya kuongea
  11. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Wewe unadai ilani ya chama leo ulikuwa wap siku zote.Umefeli
  12. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri: Mkutano wa kufunga kampeni za CHADEMA - Jangwani, Dar - Okt 24, 2015

    Time for changes ambayo mungu akipanga hakuna mwanadamu anaweza kuyazuia.I support you Edward Ngoyai Lowasa 100%.Tumechoka na mafisadi
  13. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Kwa maswali na majibu kwa masuala ya kilimo tu

    Me nilikuwa nahitaji kujua kuhusu kilimo cha tikiti in general kuanzia uoatikanaji wa mbegu na favourable climate kwa zao hili ikiwezekana kwa hapa tanzania huwa yanalimwa sana mikoa gani?? Na vitu vinahitajika kwa ajili ya kilimo hiki
  14. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Sasa naona wazi kwamba Prof. Mwandosya ni tofauti sana na wengine

    Acha kuwa na bongo lala wewe.You have to change,people now we are looking for a hardworker na sio ukabila.Kwaiyo unataka kusema akipita baraza lake lote la mawaziri litakuwa wanyakyusa.You are very far my friend
  15. HenryLugano

    JamiiForums Tanzania Team Kanembwa tukutane hapa

    Hakuna chanzo chochote from google inayotoa report ya mafunzo ya jkt.Ile ni siri ya kambi acha kupotosha wewe
Back
Top Bottom