Recent content by HENRY14

  1. HENRY14

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Tunakuja kujiokotea akina Haaland...
  2. HENRY14

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Kwa hiyo mataji yenu tutagawana wale tuliokuwa tunamaliza nafasi ya pili baada yenu? Na je zile timu zilizokuwa zinashushwa daraja kwa sababu yenu? Mtawalipa pesa? Je zile timu zilizokuwa zinakosa UCL kwa sababu yenu? Je ma FA cup na ma Carabao...?
  3. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    City wamekutwa na hatia ya makosa 114 kati ya 115 waliyoshtakiwa. Wanategemewa kukata rufaa, ila je ina maana watanyang'anywa makombe yao halafu sisi, kuku na manyumbu tupewe kama ilivyokuwa kwa Senegal na Morocco?
  4. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Bado tu tunaandamwa aisee?
  5. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    😀😀😀😀 mimi ni mchoraji na naishi porini mkuu.
  6. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Watu walikuwa wanatusubiria sana tupigwe aisee. Daah. Sijawahi kuona notifications nyingi kwenye JF yangu kama leo hii. Bahati nzuri ni kwamba kama kawaida, siku tukifungwa ndiyo kazini mambo yanakuwa chungu mzima zaidi na zaidi. Hapa tayari naingia mzigoni hivyo naweza kushindwa kuingia humu...
  7. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Nilikuwa niicheki hii comment yako. Uliona mbali aisee.
  8. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Yaani wanatupiga kwa haki kabisa. Huwezi hata kulalamika.
  9. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hawa jamaa wamesahau kuwa sisi ndio mabingwa nini?
  10. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Vipi mkuu, utaachana na Newcstle na kurudi nyumbani huku kwa mabingwa?
  11. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Sasa hapa kawaite wazee wa viingereza vingi kule jukwaa la Livakuku waje kuwatasfiria hawa Chelkenge hili bandiko.
  12. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Ndiyo zetu hizo. Japo pia napenda kuona Raya anadaka na kuanzisha counter kali kwa kurusha au kupiga mpira mbele, uchukuliwe na mchezaji mmoja afunge au atoe assist kwa mchezaji mwingine. Kuna mfano mmoja game ya Crystal Palace...yaani Raya - Jesus - Trossard...bao.
  13. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Si amesema '...will never leave us alone" yaani hatuachii? Na hapo si Kai ametoka kuwafunda Chelkenge? Pia jina lake lina "CFC" mwanzoni akimaanisha "Chelkenge Football Charity". Mashabiki lia lia wa Chelkenge huwa wanapenda kuweka "CFC" kwenye usernames zao ili dunia nzima iwatambue kama...
  14. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Ile move ingekubali, kuanzia mechi ijayo timu zingeanza kuweka wachezaji 11 wote ndani ya box lao.
  15. HENRY14

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Na msimu huu hatutaki kufunga kwa kona wala penalty. Tukizipata tunajikosesha makusudi. Lengo ni kila mtu achapwe kwa open play. Nadhani Castr alisema msimu huu Arteta anafikiria kuwaachia wachezaji waonyeshe mbwembwe zao zaidi ili gemu linoge haswa kwenye maeneo ya box la mpinzani...
Back
Top Bottom