Recent content by Henry Msuya G

  1. H

    JK: CCM Tujiandae kisaikolojia muundo wa serikali tatu

    mwanaccm yupi aliyeunga mkono serikali tatu hadharani ukimtoa mansoor ambaye aliishia kuukosa uwakilishi wake????????
  2. H

    CCM Bunda wakosa mgombea udiwani

    Magambo huyu ni yupi ?
  3. H

    Maana halisi ya Chama cha Siasa na maudhui ya Zitto na wafusi wake wa CCM,

    Mahakama kuu ijiandae kupokea kesi ya kubembeleza ubunge
  4. H

    Waziri Kagasheki ajiuzulu; David Mathayo, Nchimbi na Nahodha watimuliwa na Rais Kikwete!

    sitashangaa kuona watu wa aina ya MWIGULU NCHEMBA wakiwa mawaziri nasubiri
  5. H

    Makamanda; CHASO yetu jamani

    CHASO wakati mwingine ni ubabaishaji MTUPU hasa ud maana hata viongozi hawajipambanui wazi ila najua wanaogopa nini SIASA vyuo vikuu ni kupoteza FUTURE hasa wakati huu wa serikali korofiii wako wapi akina al shabab na wenzake
  6. H

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    Nasema Hivi siku mh Zitto akitangaza kukihama chadema kwa kufukuzwa au kwa lolote CCM Itafanya SHEREHE KUBWA hadharani,, sitaki kuamini kama zitto anaweza kuondoka chadema.....ILA KIONGOZI WA WASALITI NI LAZIMA ASALITIWE VIKALI
  7. H

    Usaliti na Unafiki unavyoangamiza Taifa - Lema

    vikao vipo ila bado tuamini kuwa na misimamo tofauti ndani ya chamasi mbaya ila USALITI NI DHAMBI KUBWA
  8. H

    Lecturer udsm auza desa 10,000 kwa lazima,,,

    Tunaosoma coz hiyo tunajua tunachokifanya hapa chuoni nashanga anayekurupuka kuandika asilolijua we unataka tusome nini acha kukuruupuka Fanya research kabla hujaja kujionesha humu muone
  9. H

    Ninakwenda mafunzo ya JKT...

    wiki tatu hazitoshi kujifunza kitu
  10. H

    Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2015: Tanzania ijifunze toka Mdahalo wa Kenya!

    kwa hapa kwetu ungeleta tija waswas wangu ni wale makatibu wakuu wanaopiga stop wagombea
  11. H

    Kamanda Mawazo atoa wito kwa WanaCHADEMA wote

    we should suport him
  12. H

    Sikumkimbia Dr. Slaa New Africa Hotel

    na mimi nataka mafunzo nikukute wapi
  13. H

    Uthibitisho wa kazi maalum ya Ben Saanane na hujuma za Dr. Slaa kwenye siasa za Juliana Shonza

    Endeleeni kuvuruga chama wote mtakufa chadema ya wasafi itabaki tuliopo vyuoni tunajifunza tushike hatamu tukiwa watu safi poleni
Back
Top Bottom