Recent content by hengo

  1. hengo

    Polisi wamjibu ovyo Kardinali Pengo juu ya mauwaji ya Mapadri

    Wahalifu wanaishi katika jamii, ni uwazi kabisa kwamba yeyeto anayechukia uharifu anawajibu na haki ya kuuzuia uharifu kwa kushirikiana na polisi.hivyo ni sahihi kabisa kwamba kama Pengo au mzalendo mwingine yeyote anajua wauaji/ muuajia aliko awajulishe Polisi.Kwa kweli huo ndiyo uzalendo na...
  2. hengo

    Ujio wa Rais wa China, Xi Jinping nchini Tanzania - Machi 2013

    Kwanza ni heshima kwetu kutembelewa na kiongozi wa Taifa kubwa kama china, lakini pia ni fursa ya kujitangaza kama taifa na kutangaza rasilimali zetu na hivyo kupata nafasi ya kutafuta namana ya kuvuna na kusindika rasilimali ili ziyo uongeza kipata cha ingie katika masoko ya walaji na...
  3. hengo

    CPA siku hizi bado ina advantage?

    Mimi nilikuwa mpita njia hapa, nashukuru nimefaidika na ushauri wenu
  4. hengo

    Asome nini yenye unafuu katika soko la ajira marketing, community development na procurement

    Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi gani inaweza ikampa unafuu katika ushindani wa soko la ajira au kumfanya ajiajiri mwenyewe kati ya...
  5. hengo

    Am very beautiful but cant keep a man for long

    You must have something wrong.It is better you Evaluate yourselves.However if it is possible ,you could give me your email or phone no for detailed information
  6. hengo

    Kipi chuo kikuu bora Tanzania?

    UDSM na OPEN, ww angalia hata kwenye ranking za vyoo vikuu pia competence kwa wahitimu bila shaka utakubali
  7. hengo

    Alinikimbia kwa sababu ya shule, sasa anataka turudiane

    Muoe nawe uache kubadilishabadilisha kila siku
  8. hengo

    Mchungaji apandishwa kizimbani kwa biashara haramu

    Mimi sitetei wala si shutumu mtu yeyote kwa vile sina vielelezo.Il ninachosema vitendo viovu vya aina hiyo havifanywi na viongozi wa dini tu, bali watu mbalimbali ndani ya jamii bila kujali nyazifa zao.Na hivyo niwajibu wa jamii kuwaadhibu na kukomesha maovu yote kwa njia za kisheria bila...
  9. hengo

    Umekagua daftari la mwanao?

    Nashukuru kwa kutukumbusha kukagua daftari za watoto.Aidha napenda nitoe ushuuda kuwa vyema na very Good pamoja na Excellent nyingi kwenye daftari za watoto si mara zote zinaashiria maendeleo mazuri kwa watoto, kwani mara nyingine ni vichocheo kwa wazazi wazidi kutoa Ada kubwa hasa katika baadhi...
  10. hengo

    Polisi wamkamata Lwakatare, apelekwa kwa mahojiano Makao Makuu

    Nani yuko juu ya sheria na hata asihojiwa kwa jambo linalotiliwa mashaka?Je, kuhojiwa na vyombo vya dola ni hukumu?Yeyote atendaye au anayeashiria kutenda jinai ni bora kuhojiwa kwa maslahi ya Taifa na watu wake, yaani mimi na nyinyi nyote na wao pia.
  11. hengo

    Mchungaji apandishwa kizimbani kwa biashara haramu

    Sheria haina dini.Mimi nadhani siyo sahihi kuhusisha makosa na dini, wala kauli kuwa sheria inapindishwa kwa dini fulani pia siyo sahihi hususani kwa Great Thinkers.Uharifu ni tabia ya mtu bila kujali ni wa dini au dhehebu gani.Bila shaka yeyote atakayebainika na ushaidi ukapatikana dhahiri...
  12. hengo

    Watanzania wafika Sayari ya Mars

    Binafsi nawapa pongezi vijana wenzangu kwa vipaji vyao na umahiri wa kutumia vipaji vyao kwa faida ya watanzania.Mhe.Jk ni muwakilishi wa Watanzania, anabeba dhamana kubwa kwa ajili ya watanzania wote, bila shaka vijana hawa wanaujumbe kwa watanzania wanapenda kuutoa kupitia kwa Rais wetu.Aidha...
  13. hengo

    Housegirl mpya akadai nimpe chake kabla hajaharibu…..!

    Hakika Mungu ndiyo mwenye mamlaka ya na nguvu za kufanyika lolote apendalo liwe.Hapa naona alipenda akuumbue ili ujifunze kutokana na vijimambo vyake.Hata hivyo inakupasa uendelee kumtumikia yeyey BWANA muweza wa yote maana amekuokoa kutoka kwenye kiaama. Aidha nakupongeza kwa kusema ukweli...
  14. hengo

    Naomba ufafanuzi juu ya upatikanaji wa kadi za airtel

    Napenda kuwapongeza Airtel kwa jitihada zenu za kueneza mawasiliano kwa wananchi wa mijini na vijini.Jana nilibahatika kupewa kadi za bure kabisa na kijana mfanyakzi wenu hapa Dodoma, akieleza wazi kuwa kampuni imeamua kugawa kadi za simu bure. Lakini nashangaa leo tena kuna kija amefika...
  15. hengo

    Tamko la JWTZ juu ya picha ya Lema na Mwanajeshi katika Mwananchi la Leo

    Ni vyema uchunguzi ufanyike kwa makini, na ikibainika hatua sahihi zichukuliwe kwa husika.Aidha ikumbukwe kuvaa sare za jeshi kwa mtu ambaye siyo askari ni kosa la jinai,pia photo faking ni kosa.
Back
Top Bottom