Am very beautiful but cant keep a man for long

Am very beautiful but cant keep a man for long

Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?

yours Cynthia
humo kwenye red ndo matatizo yako..kwamba umeshajijua kwamba wewe ni mzuri na uko vizuri kifedha,,na obvioously unakua na attitude inayo reflect hivyo vipengele..either kwa kujua au kutokujua so what man do u think will want to stay with a woman who has such a mentality,, uzuri hauliwi..bana..wewe design unaringa ringa hivi..amini hivyooo...
 
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?

yours Cynthia

Cynthia,

Since WHEN did God make mistakes in his Creating? You are a wonderful creation of God, a creation of beauty. How DARE you say that your beauty is a CURSE? Take that BACK!

You need to do some DEEP soul-searching. How close is your relationship with God. Put aside ALL your worldly possessions; money, phone, car, etc. Take a stock of your NET WORTH according to God.

Do you go to Church? How often?

Do you read the Bible? How often?

What are the qualities of the IDEAL man that you should seek out? Are you attracted to wealthy men or just normal ones?

Once you have the answers to THESE questions and many more, you will find your answers.

Never Give up, because God is Good (GIG)!

May God Bless You, Always!
 
Every Woman is wife material, what matters is What kind of Wife You want....

I think there is something wrong with You when it comes to relationship with Men, and its very serious, BUT You are the only one to find out....
 
You must have something wrong.It is better you Evaluate yourselves.However if it is possible ,you could give me your email or phone no for detailed information
 
Pole dada, cha msingi mtafute kati ya hao wanaume, muombe sana hata kwa kumbembelza lazima kuna shida ama kitu kinachowafanya wafanye hivyo, ukikaanae uwe mpole na umdadisi na kumuomba sana akuambie shida ni nini? Mwanaume uliyekiwa na mahusiano nae lazima atajua shida ni nini na kwa upole ukimuuliza atakuambia tu.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Beauty, Charisma, habits, likeability.....

Totally different things
 
mmh may be the problem is not you but your selection, too much selective is not gud in love
 
itahwa Tabia, maneno na lugha unayoongea ukiwa na wapenzi wako inaweza kuwa tatizo.

Wanaume mara ningi hawapendi wanawake wakali, wenye majivuno.

Na inaonyesha umeshindwa kuficha asili yako na pia huenda ukawa na high expectation katika maisha yako ambapo wewe mwenye hata uishi karne hauwezi fikia. na unataka mabadiliko hayo yatokee kwa mwenza wako haraka bila kuuangalia yeye ana nini.

pole sana.
 
Last edited by a moderator:
mmh may be the problem is not you but your selection, too much selective is not gud in love

nliwahi date binti mmoja mrembo msomi,ila linapokuja swala la uhusiano alikuwa anaboa mpaka ......mabinti kama kuna kitu mnamiss ni tabia ......personality na character hizi element hata uwe na sura kama sokwe utapata mpenzi tuu
 
slowly slowy kupitia hapa JF nimejifunza kuwa naweza ishi na mwanaume wa aina yyte ile kabila yyte ile mkali na mpole ,you guys yu gota same preliquisites in love yaani ukaweka consistence ya mambo fulani unawezaa ishi na mwanaume kwa miaka mingi hata kama humpendi na ukapata utakacho ukasepa nakuja gundua katika maswala machache sana wanaume wanawaza mbali ila katika swala la mapenzi aisee yaani unamteka kwa kitu kidigo sana.weka mbali natembo

Very big untold truth..........very untold big truth
 
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?

yours Cynthia
Unatakiwa ujue wanaume wanataka nini na kujiangalia kama kweli unao uwezo wa kuwapa hicho wanachotaka ama laa; pili unatakiwa u-behave kama mwanamke, uyajue majukumu ya uanamke, uyakubali na uyatekeleze bila kigugumizi. Tatizo la wanawake wengi wanafikiri mwanaume shida yake ni nyapu na kurembuliwa macho. Kama hutaelewa lugha ya taifa nitakuwekea version ya kimombo usuzike na roho yako.
 
Wewe ni mzuri wa kitu gani hasa? Sio unajisifia na kupokea misifa tu...mbona hao jamaa zako hawauoni? Kunatatizo mahali ambapo fikra zako hazifiki
 
wazuri hawaolewi, hata Vyuoni hawapo sembuse Sekondari
uzuri ndio uliomponza Tausi hadi leo hawezi kutembea,
usijeshangaa unazeeka binadamu wote ni sawa
 
itahwa Tabia, maneno na lugha unayoongea ukiwa na wapenzi wako inaweza kuwa tatizo.

Wanaume mara ningi hawapendi wanawake wakali, wenye majivuno.

Na inaonyesha umeshindwa kuficha asili yako na pia huenda ukawa na high expectation katika maisha yako ambapo wewe mwenye hata uishi karne hauwezi fikia. na unataka mabadiliko hayo yatokee kwa mwenza wako haraka bila kuuangalia yeye ana nini.

pole sana.

Hapo umenena BANDABICHI then MAUJUZI na mausafi, yanatakiwa maana sisi wasichana wengi tunasahau nafasi zetu kama wanawake na pia kuwa chini ya mwanaume na si kujipandisha juu ya mwanaume hata kama una kipato cha kumzidi
 
Last edited by a moderator:
mwanamke tabia uzuri hata pundamilia anao,jaribu kujitazama wewe kwanza kwan yawezekana unavjitatzo vyako kwasababu haiwezekan wakukimbie.cku zote ukiwa na tabia mbaya na mzur we utabaki uwanja wa mazoez wa kila timu then wakimaliza wanasepa.UZURI C KIGEZO bali tabia na ndo mpango mzma
 
I don't think u can't keep them just bcoz u are so hawt,beuty n sexy it is simply bcoz a good man is hard to find and let's say a good one hasn't cross on your world yet
 
Hi Guys My Name is Cynthia. Iam a young beautiful woman and alot of men keep chasing me. But i have noticed a very worrying thing, i cant keep a man for more than 4 months. Every man who hooks up with me drops me after some time. Iam financially stable so i cant say iam a burden to them. Whenever i try to ask them what is the problem, none has told me the truth. They simply say, You are a very beautiful and sexy lady but you are not my Type. Iam now losing my self esteem. Is this Beauty of mine a curse?

yours Cynthia
like in 'coming to america' pretend you are poor ie a daughter of a goat header
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom