Recent content by hemedis grandson

  1. hemedis grandson

    Toyota Starlet vs Duet ipi ipo vizuri?

    Habarini wataalamu, Naomba ushauri kati hizo mbili gari ipi ipo vizuri katika vipengele vifuatavyo: 1. Uimara wa bodi 2. Gharama za spare zake. 3. Inaweza kwenda safari ya km 600 (mara moja kwa mwezi - sio kila siku).
  2. hemedis grandson

    Laptop yangu inaganda ganda

    Mbona kama ni DELL hiyo?
  3. hemedis grandson

    Msaada: Mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa

    Naomba kufahamu mchanganuo wa Biashara ya Tigopesa kwa Kusajili Laini yangu Mwenyewe. 1. Gharama za Usajili 2. Vitu ninavyotakiwa kuwa navyo ili kusajili 3. Ufafanuzi kidogo juu ya malipo ya kamisheni yakuwaje (mfano ni asilimia ngapi ya muamala nk) Natanguliza Shukrani. NB: Sihitaji kununua...
  4. hemedis grandson

    Printer ipi ni Nzuri kwa Kuprint Labels

    Ahsante sana, nitachukua. Hiyo L850
  5. hemedis grandson

    Printer ipi ni Nzuri kwa Kuprint Labels

    Ahsanteni sana kwa mchango wenu.
  6. hemedis grandson

    Printer ipi ni Nzuri kwa Kuprint Labels

    Habari za muda huu wadau, Naomba mwenye kujua printer nzuri inayoweza kuprint labels (lebo) ndogondogo za kwenye bidhaa kama mafuta, ubuyu, unga wa lishe
  7. hemedis grandson

    Leaving Certificate ina Kazi gani?

    Habari wadau wa Elimu. Naomba kufahamishwa ile Leaving Certificate unayopatiwa baada ya kuhitimu kidato cha nne au cha sita. Ina kazi tena baada ya kuwa umeshapata na vyeti halisi vya kuhitimu? Yaani bado Leaving Certificate zitakuwa zinatumika hata kama na cheti cha NECTA unacho?
  8. hemedis grandson

    Anayewatengenezea Samsung battery za A-Series ni kiboko

    True, Samsung hizi A series betri zake zipo Vizuri. Kama hauna matumizi makubwa unaenda nayo hata siku 2 au 3
  9. hemedis grandson

    Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

    Mbona mimi sijataka kiwango cha fedha. Mimi nimetaka TGS basi naona umejibu usichoulizwa. [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  10. hemedis grandson

    Mshahara wa Mwalimu wa Sekondari

    Habari wadau! Naomba kufahamu mshahara wa Mwalimu wa Sekondari ni TGS gani? 1. Diploma 2. Degree Ahsanteni!
  11. hemedis grandson

    M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

    Njia nzuri ni kuwasiliana nao kwa WhatsApp, kupiga inaweza kuleta changamoto.
  12. hemedis grandson

    M-Pesa & MasterCard ina matatizo?

    Mimi nilikutana na tatizo kama hilo, nikawasiliana nao Vodacom kupitia WhatsApp, nikawaeleza na kuwatumia details zangu ndani ya masaa 72 tatizo likaisha sasa hivi naendelea kuitumia kama kawaida. Nakushauri Wasiliana nao Vodacom kwa njia ya WhatsApp uwatumie details.
  13. hemedis grandson

    Simu yangu ni Android 10, App ya Vodacom inagoma kufanya kazi

    Simu yako ipo rooted? Kama umeroot simu haiwezi kukubali App ya Vodacom, Jamaa wapo very secure.
  14. hemedis grandson

    Kwa mtaji wa Shilingi laki moja hadi laki tisa (100,000 - 900,000) unaweza kufanya biashara gani?

    Angalia fursa/hitaji lililopo katika eneo ulipo. Kwa mtaji wa Tsh 150,000 unaweza 1. Kuanzisha Genge la Matunda na MbogaMboga 2. Kuchoma mahindi ukipata site nzuri 3. Kuuza vyombo mitaani kama ni mtu usiye na aibu. 4. Kuuza vitu vidogovidogo kama vile nguo za Mitumba mitaani.
Back
Top Bottom