Printer ipi ni Nzuri kwa Kuprint Labels

Epson L805
Habari wandugu. Kuna design hii L850 ambayo Bei ni around 800,000 (I think) lakini pia nilijaaliwa kuona version nyingine ambayo wanasema ni heavy duty. Bei 1.5m. Ushauri zaidi kwa wataalamu...
 
Kuna zile walikuwa wanazimanipulate Kenya then zinauzwa kariakoo, zilikuwa ziko so affordable kwa upande wa wino, ndipo naye epson akaamua kutengeneza za kwake sawa na ile feature ya manipulation waliokuwa wanafanya. Sasa ukipata hizo za mwanzo zilizokuwa manipulated wanasema ni nzuri sana ila bei yake ndo kubwa.

Sina utaalam sana kwasababu mimi nikitaka kuprint labels naendaga kariakoo kwa wale jamaa wako karibu na msikiti, kwasababu napenda labels zikiwa na lamination ili hata kama mtu akiweka kitu kwenye friji au sehemu yenye maji label haijathiriki.
 
Habari wandugu. Kuna design hii L850 ambayo Bei ni around 800,000 (I think) lakini pia nilijaaliwa kuona version nyingine ambayo wanasema ni heavy duty. Bei 1.5m. Ushauri zaidi kwa wataalamu...

L850 ni mpya kuliko L805, na moja kati ya sifa zake ni kupokea Flash disk na memory card. Yaani unaweza kuprint bila kutumia computer pia inaScan na kutoa copy , kitu ambacho L805 haiwezi. L850 iko poa sana na ndio mbadala wa ile P660 ya zamani.

Kama unaimudu L850 basi ichukue bila kusita.

Kuhusu heavy duty usihangaike sana endapo kazi zako sio heavy yaani kuprint hata label masaa 6 kwa siku hii L850 inaweza pia.
 
Ahsante sana, nitachukua. Hiyo L850
 
Ahsante sana, nitachukua. Hiyo L850

Habari ndugu,
Hii unachukua kwa ajili ya kuprint labels zako wewe tu au kwa ajili ya biashara ya kuprint labels?

Kuna printer za aina ya "Inkjet" na aina ya "laserjet".
Inkjet zinatumia wino wa maji wakati laser jet zinatumia toner ya unga.
Epson ni inkjet, labels zinakuwa na muonekano mzuri sana hasa unapotumia photo papers. Changamoto yake kubwa ni kwamba labels zake hazikai na quality ileile kwa muda mrefu, lakini kwa muda mfupi mfupi zinakuwa nzuri tu. Na kitu kingine, Epson inaprint polepole sana hasa inapokuwa full color, na kitu kingine lazima uamue unataka size gani ya karatasi (yaani Maximum size, A4 au A3)

Printer za laserjet zenyewe zinatumia toner (poda), printouts zake zinakaa muda mrefu, karatasi aina za glossy au wengine huita artpaper zinakuwa vizuri. Ziko kuanzia ndogo hadi heavyduty. Mfano ni HP Laserjets, Canon Laserjets, Konica Minolta .....
Labels za laserjets hazing'ai sana kulinganisha na za inkjet zilizoprintiwa kwenye photo paper.

Nakutakia uchaguzi mwema wa printer unayoitaka.
 
L850 ni mpya kuliko L805, na moja kati ya sifa zake ni kupokea Flash disk na memory card. Yaani unaweza kuprint bila kutumia computer pia inaScan na kutoa copy , kitu ambacho L805 haiwezi. L850 iko poa sana na ndio mbadala wa ile P660 ya zamani.

Kama unaimudu L850 basi ichukue bila kusita.

Kuhusu heavy duty usihangaike sana endapo kazi zako sio heavy yaani kuprint hata label masaa 6 kwa siku hii L850 inaweza pia.
Habari mtaalamu. Epson L850 ni bei gani kwa Dar? Mimi niko Dodoma. Pia tafadhal kama utakuwa unajua bei ya spiral na lamination machines (mpya)
Na je hii printer inaweza kufanya kazi mbadala wa photocopy machine. Au inabidi ninunue both printer na photocopier?
 
Habari ndugu,
Hii unachukua kwa ajili ya kuprint labels zako wewe tu au kwa ajili ya biashara ya kuprint labels?

Kuna printer za aina ya "Inkjet" na aina ya "laserjet".
Inkjet zinatumia wino wa maji wakati laser jet zinatumia toner ya unga.
Epson ni inkjet, labels zinakuwa na muonekano mzuri sana hasa unapotumia photo papers. Changamoto yake kubwa ni kwamba labels zake hazikai na quality ileile kwa muda mrefu, lakini kwa muda mfupi mfupi zinakuwa nzuri tu. Na kitu kingine, Epson inaprint polepole sana hasa inapokuwa full color, na kitu kingine lazima uamue unataka size gani ya karatasi (yaani Maximum size, A4 au A3)

Printer za laserjet zenyewe zinatumia toner (poda), printouts zake zinakaa muda mrefu, karatasi aina za glossy au wengine huita artpaper zinakuwa vizuri. Ziko kuanzia ndogo hadi heavyduty. Mfano ni HP Laserjets, Canon Laserjets, Konica Minolta .....
Labels za laserjets hazing'ai sana kulinganisha na za inkjet zilizoprintiwa kwenye photo paper.

Nakutakia uchaguzi mwema wa printer unayoitaka.
Helpful
 
Habari mtaalamu. Epson L850 ni bei gani kwa Dar? Mimi niko Dodoma. Pia tafadhal kama utakuwa unajua bei ya spiral na lamination machines (mpya)
Na je hii printer inaweza kufanya kazi mbadala wa photocopy machine. Au inabidi ninunue both printer na photocopier?
Mkuu bado unahitaji?
 
Back
Top Bottom