Recent content by Helper Personal

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke kama hakutaki anakupiga mzinga

    Hahahaha
  2. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Okay
  3. H

    JamiiForums Tanzania Karibuni kwa maswali yote ya kiafya

    Kwanini fungus wanaonekana kuwa chronic sana hata kama uwe msafi sana na kufua nguo za ndani pia pindi utakapo kuoga unajikausha vzr na tawel (testicle fungus) na dawa nzuri hasa ni ipi??
  4. H

    JamiiForums Tanzania Vituko vya Mwananyamala: Mtaa kwa mtaa (special thread)

    Hahahahaha hii kali
  5. H

    JamiiForums Tanzania Raila Odinga ' Kuapishwa' Tarehe 30/01/2018?

    Odinga ataapishwa na nan?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Askofu Kakobe aweka wazi hujuma anazofanyiwa na TRA baada ya kumkuta hana kosa la kukwepa kodi

    Nimeona nitoe mrejesho wa uchunguzi wa TRA kuhusiana na utajiri wangu, Wengine wakasema hao ndiyo waliokuwa wanakuchunguza kwanini usisubiri watoe mrejesho juu ya uchunguzi wao..., Nina sababu kubwa mungu anaona mbali kuliko mwanadamu. Tulianza vizuri kabisa juu ya uchunguzi wao tena kimya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Musukuma: CHADEMA hawana ubavu wa kumhoji na kumfukuza Lowassa. Mwenye mbwa hawezi ng'atwa na mbwa wake mwenyewe

    Mbunge wa geita mh.msukuma amesema kama mbowe ni mwanaume amfukuze lowassa kwa kitendo cha kwenda kumpongeza rais ikulu kwa kazi nzuri anayofanya. Mbowe na lowassa ni watu wawili tofauti...,,Mbowe ni kijana na lowassa ni mzee, kitendo cha mbowe kumsema lowasa kwenye mitandao ni kumzalilisha...
  8. H

    JamiiForums Tanzania Askofu Zakaria Kakobe: Tanzania siyo nchi ya chama kimoja! Amtaka Rais Magufuli atubu

    Subiri baada ya miezi michache ijayo utasikia wanataka kupitisha bomba la maji kwenye kanisa la kakobe.
  9. H

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

    Akisema ahamie ccm hawez kupokelewa mkuu????
  10. H

    JamiiForums Tanzania Mch. Msigwa: Nikihamia CCM, wananchi chomeni moto nyumba na magari yangu

    Desemba 17, 2017 Mh. Peter Msigwa mbunge wa Iringa mjini(CHADEMA) amesema kuna watu wanampigiapigia simu na kutaka kumshawishi ahamie chama cha mapinduzi (CCM). Amesema watu hao wanampigia simu na kumtishia kuwa ni bora achukue hela aweze kujianga na CCM maana 2020 yeye, halima, sugu...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiuzulu uenyekiti wa CCM

    Kama amesimama bila mpinzani kura ya ndiyo ikiwa hata moja yy ndo anakuwa M/kit
  12. H

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli ajiuzulu uenyekiti wa CCM

    Watamktaa kwa njia gani mkuu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Sperm Analysis Report: Madaktari naombeni view yenu.

    1.wife unakutana nae siku zinapokuwa za hatari? Au mnafanya bila kujali hicho? 2.huwa anapata maumivu wakati wa tendo la ndoa? 3.Je ana amniotic za kutoka kwny uke wake zinazorahisisha wazungu kwenda marekani? Mkuu yapo mengi lakini nataka kujua kwanza hayo machache.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Msukuma: Ukiwa na kinu cha kutwangia kisamvu hicho ni kiwanda tayari jiongeze!

    Mm nimemwelewa MSKUMA alichokuwa anamaanisha, Kwakuwa sera ya serikali inasema "Awamu ya tano ni serikali ya VIWANDA, Sasa bac kwa kuwa hii serikali haina uwezo wa kujenga wala kufufua viwanda vilivyotelekezwa NDio maana ndugu MSUKUMA amesema hata ukiwa na kinu cha kutwangia kisamvu hcho ni...
Back
Top Bottom