Maserati
JF-Expert Member
- Jun 15, 2014
- 11,602
- 20,101
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hatariiiJana wameharibu siku yangu kabisa.
Uswazi siyo mchezo watu kutifuana migumi kitu cha kawaida,
Kuna mtu mwaka juzi akaniambia amepata chumba Mwananyamala 30,000
Kina tiles na umeme safi tu
Baada ya miezi miwili akahamia Kimara,
Kila nikimuuliza mbona ulihama ananijibu ameamua kusogea njia ya kuelekea Moshi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]