Recent content by helmholtz

  1. H

    JamiiForums Tanzania Jesca kwanini hukuniambia kama una jinsia mbili?

    Hahaaaa nimejikuta nacheka mwenyewe aisee
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini classic girls wengi wanakuwa wamevaa pete?

    Tarakea mwisho wa rombo? Umenikumbusha mbali
  3. H

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye mapaja manene ni mtamu kuliko mwenye mapaja membamba

    Aisee huu uzi safi sana unaburudisha nafsi
  4. H

    JamiiForums Tanzania St Aloysius versus St Mary Goreti

    Mary goreth imekuwa shule ya kawaida sana. Zamani ndiyo ilikuwa shule. Ushauri wangu aende hiyo ya kibaha na awali ya yote Mary goreth wana ada kubwa
  5. H

    JamiiForums Tanzania 25,532 wapangiwa mikopo awamu ya kwanza ya tzs 88.36 bln

    Hawa ni wenye matatizo na cyo waliopata
  6. H

    JamiiForums Tanzania Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) imetoa awamu ya kwanza.

    Mbona haya ni wale wenye matatizo waliokosa? Tunaomba waliopata nimcheki dogo langu
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hatuna Wanasayansi bali tuna watu wanaosoma sayansi

    Kwani kuna shida gani?
  8. H

    JamiiForums Tanzania Joseph Selasini (Mb): Nimepigwa na kundi la vijana zaidi ya ishirini wa CCM wakiongozwa na Mbunge wa viti maalum CCM Mariam Ditopile mbele ya polisi

    Pole kwake lakini selasini kwenye jimbo letu hujaleta maendeleo yeyote badala ya kuhudhuria kwenye mazishi tu. 2020 Mungu akitupa uhai wala asijaribu kugombea tena.tunamkumbuka sana Basil pesambili mramba pamoja na madhaifu yake ya kibinadamu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Ni sahihi kwa mwanamke kumzidi umri mwanaume katika ndoa?

    Safi kabisa you are matured. Mwanaume ukimpita mwanamke miaka ya kutosha inapendeza
  10. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

    Basi sawa lakini sijaona kitu hapo aisee.hapo kusearch network isome H+ sijui atatumia ushawishi gani maybe kama ana chura imwongezee sifa
  11. H

    JamiiForums Tanzania Wanawake wa namna hii huwa wananivutia sana

    Huyu hamna kitu aisee umeyumba mkuu. Anaonekana anajicream halafu amebust manyonyo
  12. H

    JamiiForums Tanzania waliopata BAED UDOM

    Kumbe nyakati hizi kuna watu bado wanasoma BAED? Bora business administration tu
  13. H

    JamiiForums Tanzania Hivi bado kuna watu wanasoma Education?

    Ni noma sana heri utafute mtaji ufanye biashara na kulima matikiti
Back
Top Bottom