St Aloysius versus St Mary Goreti

St Aloysius versus St Mary Goreti

Mary goreth imekuwa shule ya kawaida sana. Zamani ndiyo ilikuwa shule. Ushauri wangu aende hiyo ya kibaha na awali ya yote Mary goreth wana ada kubwa
 
Mary goreth imekuwa shule ya kawaida sana. Zamani ndiyo ilikuwa shule. Ushauri wangu aende hiyo ya kibaha na awali ya yote Mary goreth wana ada kubwa
Ningependa kujua kama wamesharudi kwenye chart kama zamani. Vipi matokeo ya kidatu cha nne ya 2022
 
Hamna kitu hapo.
Agape seminary iko poa kuliko hiyo
Nilipoona ni Lutheran ikabidi niingie Google niiangalie maana sijawahi kusikia kuna shule za madhehebu mengine zinazofanya vizuri kuleko shule za Katoliki.
Nadhani Lutheran wangeweza kufika japo robo ya shule za Katoliki lakini tatizo la Lutheran hawapo kitaasisi hata kidogo, kwa nje inaonekana ni taasisi ya dini lakini kiuhalisia ni one man show kama makanisa ya Upako, ndio maana mchungaji akileta maendeleo makubwa kwenye usharika na kupata umaarufu KUMCHOMOA SIO RAHISI, watahamishwa wengine tu. Refer to Eliaona Kimaro na Matsai wa Kimara Korogwe.

Project za kanisa Katoliki huwa zinaratibiwa kitaasisi ndio maana zinafanikiwa sana na pia kuna kuwajibishana bila kujali status ya mtu lakini Lutheran wao hata kuwajibishana ni kazi na ukimgusa mchungaji maarufu atashawushi waumini WAANDAMANE.

Shule za Lutheran zungekuwa zinafanya vizuri sana kama System yao ingekuwa IMARA
 
Back
Top Bottom