waliopata BAED UDOM

waliopata BAED UDOM

Msaada kwa anayejua dirisha la2 la usajili UDOM linafunguliwa lin.. Anijuze.. Pia kama unatumia akaunt ya awali au unafungua nyingine?
 
washafungua ila me kwenye account angu mambo yale yale hainirusu kuapply tena vp profile ako/?
 
Mi nilifunguaga akaunt lakini sikuifanyia application wala kulipia hela.. Sa ndo nataka niitumie sahiv
 
ingia kwa profile yako...kweny my application...utakuta alama ya delete na alama ya jicho...utabonyeza kwenye delete kufuta zile programz za mwanzo..then utaanz upya
 
samahan he hiyo ni kwa udsm au hata udom
 
Hivi vijana MNA ujasiri gani wa kuamua kusoma BaEd kipindi hiki? By the time unamaliza kutakuwa na zaidi ya wahitumu wa baEd 6000 kitaa huku mashuleni kukiwa na ziada ya walimu wa baEd. Bora uingie mtaani now ujiajiri maana ndicho utachofanya ukihitimu baEd
 
Achaa kwanza tule nationa cake millioni kadhaa za loan Board, (kodi zetu) tumehaso toka fom 1 mpaka six,, tukose hata boom la kupozeaa machungu,,, hata kama hamna ajira acha loan bod watupe mitaj,,,,
 
Kuandika kwenyewe hujui halafu unataka uwe mwalimu, hufai hata kufundisha shule ya msingi
 
Simshauri mtu asome ualimu kama hana malengo mazuri. Ni bora kusoma kitu kingine kabisaa. Pia omba ushauri kwa wakubwa zako kwanza.
 
Back
Top Bottom