Savage Dad
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 1,388
- 2,611
Nakubali maneno yako,ma engineer wapo kibao na wanafanya mambo hao wazungu wenyew wakija wanashangaa naongea hivi nikiwa na ushahidi.ukiwa haujasomea hivyo vitu ni halali yako kusema hayo unayoyasema