Recent content by HelcopterChopa

  1. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Nimejiridhisha kuwa nina sifa na vigezo, nitagombea 2025

    Wapendwa, Kwa muda sasa nimekua na ziara ya muda mrefu kujifunza, kusoma ramani na kupima upepo wa kisiasa, kuskiza maoni, mitazamo, ushauri na kwakweli kusaidiana na wananchi wa Jimbo la chemba na actualy ndio nyumbani kwetu, katika kutatua changamoto ndogo, za kati na kubwa kadiri...
  2. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

    hii mpyaaa:D
  3. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Kupima saizi ya kiuno kwa shingo

    Pole na hongera ya nguvu kwa majukumu ya leo ndugu mpamabanaji na muwajibikaji. Langu ni moja tu, nalo ni hili. Hivi mtindo wa kujipima mathalani, unanunua suruali au sketi halafu eti unapima saizi ya kiuno chako kwa kuzungushia kiuno cha ile suruali shingoni mwako ili kujiridhisha kama...
  4. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Malumbano ya kisiasa hayana afya kwa ustawi wa demokrasia nchini

    Yanayoendelea miongoni mwa vyama vya siasa na vyama vya kiraia hususani chadema na sauti ya watanzania ni kudhoofisha afya na ustawi wa demokrasia nchini. Ni kudhoofisha jitiahada zilizoanza vyema sana za kutetea haki, uhuru, usawa na demokrasia. Malumbano yanarudisha nyuma na kupoteza uelekeao...
  5. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    maoni yako ndo yameishia hapo mzee Makojo? sawa lakini nimekuelewa
  6. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Maridhiano ya kuingiza upinzani Serikali

    Nina maoni kwamba hoja hii inaonekana kuwa na mantiki fulani. Kuna dalili za upinzani kuonyesha nia ya kushirikiana na serikali kwa maslahi ya taifa na wananchi. Hii ni ishara nzuri kwa ustawi wa nchi na amani. Mapendekezo yao, hasa kuhusu masuala kama tume ya uchaguzi, katiba mpya, na maendeleo...
  7. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    point muhimu sana hii💪👌
  8. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    haya sawa kwa mtazamao
  9. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    well and good, inawezekana kwa jinsi ya uelewa wako dhidi yake. To me, this gentlemen is not only the the best but also anafit for a powerful post and higher job in Tz.
  10. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Hapana mimi sio mchaga na sijaoa bado. Nafatilia siasa za vyama na ninapendelea siasa za Tz, East Africa na Africa kwa ujumla. Powerful Freman Aikael Mbowe ni miongoni mwa viongozi wazalendo ninao wafuatilia kwa karibu zaidi.
  11. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    :D ndo nini sasa hii
  12. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    elawa kwamba mtu akishakua bold na yuko sirious huku akiwa very focused, hawezi kukubali umrudishe nyuma kwa kuhoji vitu ambavyo tayari impact yake inaonekana hadharani. Atakufyekelea mbali tu ukijaribu kutatiza au kublock ambition na mission yake, ukweli usemwe, ata kama ingekua wewe lazma...
  13. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Yes, but political mistakes nchini Tanzania, ukichunguza na kupiga darubini vizuri, utagundua kua vyama vikubwa, vidogo na vikongwe vimefanya sana makosa mengi ya kisiasa hususani yanayofana na hilo ulilo liibuua kumuhusu mbowe. Uzuri ni kwamba wanabaini izo mistakes wanajifunza, wanazifanyia...
  14. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Historia ya Freeman Aikael Mbowe (hadi mwaka 2015)

    Huyu patriot, Ni mtu wa maana sana nchini, Lakini pia ni mtu sahihi sana, muhimu mno kwa mustakabali wa amani, utulivu na utangamano miongoni mwa wa Tanzania nchini. Njia anazopitia, njia anaozoingilia na kutokea kitaifa na kimataifa, ni ishara ya umakini na umuhimu wake kwa Taifa na...
  15. HelcopterChopa

    JamiiForums Tanzania Ukimya uliogubikwa na kupoa kwa upinzani nchini

    Yes, Thanks very much, thats points. Hakika hapo ndo penyewe haswaa
Back
Top Bottom