Recent content by helashatonga

  1. H

    JamiiForums Tanzania Uzi maalumu wa kupeana connection mbalimbali za biashara

    Habari zenu wakuu Katavi kuna fursa gani nzuri ya biashara maana nasikia watu wanaongea sana kuhusu biashara kufanya biashara mkoa wa Katavi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Anahitaji Mbia wa kuwekeza katika kampuni ya Ukandarasi

    Nigependa kujua wewe una hisa ngapi katika kampuni hiyo mkuu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nani anayekagua na kudhibiti ofisi ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali(CAG)?

    CAG hukaguliwa na External Auditor kutoka nje ya nchi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ligi Kuu Tanzania Bara, Februari 16, 2019: Kariakoo Derby, Yanga SC 0 - 1 Simba SC

    Lini Zahera atapata wachezaji anaowataka Sent using Jamii Forums mobile app
  5. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania tujifunze kuheshimu vyombo vyetu vya Ulinzi.

    Polisi msilalamike kuwalinda raia ndiyo kazi mliochagua jitahidini tu kupenda kazi yenu, raia wakiwa na amani maana yake mumetimiza wajibu wenu Sent using Jamii Forums mobile app
  6. H

    JamiiForums Tanzania OFISI YA UTUMISHI MISUNGWI IMULIKWE

    Mbona halmashauri nyingi Bado issue ni Dodoma Wala sio misungwi au sehemu nyingine kwa sababu wao wameposit majina Dodoma hawajaapprove hawawezi fanya lolote kuwa mvumilivu tu
  7. H

    JamiiForums Tanzania GE2020 Urais 2020, CCM twende na Benard Membe. Mwanadiplomasia nguli wa kuivusha Tanzania

    Msjaliwa Safi Sana Hana shida kwa Sasa inabidi kuigiza na kwenfa na mlio wa ngoma but majaliwa deserve to be president
  8. H

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada kurudi bongo

    Hizo ndiyo umepata tangu 1992 duu unatania
  9. H

    JamiiForums Tanzania Serikali yetu inaendelea kukosea?

    Aisee kumbe!!
  10. H

    JamiiForums Tanzania Degree procurement ni miaka mingapi?

    Miaka 3- 4
  11. H

    JamiiForums Tanzania Uume umesimama toka juzi mpaka hivi sasa baada ya kula dawa ya mtaalamu

    Weka uume kwenye barafu, muda mfupi utasinyaa na baadae nenda onana na daktari hospital utapewa ushauri
  12. H

    JamiiForums Tanzania Stars iombe mechi ya kirafiki na Simba

    Salaam wakuu mechi ya Taifa stars na the cranes ya Uganda inachezwa saa ngapi na inarushwa na tv gani
  13. H

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Mbona Mimi sioni hii game ya Simba Vs prison na Azam tv iko on Sent using Jamii Forums mobile app
  14. H

    JamiiForums Tanzania Simba Sports Club (Wekundu wa Msimbazi) | Special thread

    Jamani game ya Simba Vs T/Prison inaonyeshwa channel gani? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. H

    JamiiForums Tanzania VIDEO: Jinsi ya kuitumia JamiiForums (Wageni na Wanachama)

    Jinsi ya kupost uzi/mada nashindwa wakuu naomba msaada Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom