Hata certificate hujaanza unaulizia degree[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]Kwa yeyote anaejua swala hili anijuze kama nitaanza certificate nikitaka kuchukua degree ni miaka mingapi?
Hahahahah.dogo anazingua wengine ndo kwanza wanapiga diploma wanawaza jinsi ya kupata GPA ya bachelor.yeye certificate anapiga yowe[emoji53]Hata certificate hujaanza unaulizia degree[emoji51][emoji51][emoji51][emoji51]
Umeona bora aishie hapohapo [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14]Sasa si unaona,ndio maana unajibu hovyo.Nenda Cheti tuu dogo langu.ikibidi achia hapo