Ndiyo inabidi ukubali sasa maumivu.
1.Unaweza ukaishi bila kuungana na unaye mpenda kihisia.
2. Unaweza ukampenda mtu na kuwa mbali naye kihisia
Jibu ni mmoja tu
Ukitaka kushinda hali hiyo
Kuwa tayali kupoteza unacho kipenda na huo ndio ushujaa na ujasiri wenyewe.
Hiyo ni hali ya kutokuwa na ukomavu wa kihisia
Unakuwa hauko tayali kupoteza kitu unacho kipenda.
Na pia hauko tayali kukubaliana na hali au kukubali maumivu.
Kwa sababu hakutaka apate thawabu kwa wanadamu
Ukilazimika kuonekana huna budi kuonekana
Kinacho jalisha siyo watu wamekuona au la .
Kinacho jalisha unafanya mambo ukiwa na nia gani moyoni ili watu wakuone au la
Kama wewe tayali ufahamu wako unaonesha hahusaidii kwa kutaka sifa kutoka...
Wewe nenda
Kufahamika siyo vibaya ata Mungu pia uwa anapenda kuwatangaza watu kwa njia mbalimbali
Akikisha kila jumapili unaenda kanisani kusali pamoja nao
&
Then toa sawasawa na moyo wako utakavyo kuongoza.
Be blessed.
Acha ujinga ,
Waambie wazazi wake
Usipo kata pia connection na wazazi wake pia bado utaendelea kumuwaza wakati asha sema ufanye mambo yako.
Huyo mwanamke.akupendi hadi amekusaliti.
Achana naye
Kwanza kabisa pole ,
Mwanaume mwenye busara
Hujifunza kutokana na makosa.
Kama utaamua kumsamehe sitisha misaada kwa wazazi wake na kisingizio kiwe una mambo mengi ya kuyafanya kwa sasa .
Lengo ni kupima kama binti karudi ya kwamba wewe ni mkombozi wa familia yake au la , amerudi kwa upendo...
Ukijua kutumia muda wako vizuri huwezi kuwa mpweke.
Kwa mfano
. ukaweka muda wa kufanya kazi
. ukaweka muda wa kupumzika
. kufanya mazoezi
. kujifunza mafundisho mbalimbali
.ukaweka muda wa kufanya meditation
Kila dakika kwako ikiwa na maana upweke utausikia tu ni matatizo ya watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.