JITU BANDIA
JF-Expert Member
- Feb 5, 2023
- 4,142
- 9,370
Unajua 1.4M ya mwaka 2015 ni Sh ngapi ya sasa?! Fanya hesabu rahisi tu, tafuta bei ya kilo1 ya nyama mwaka huo...utoe bei ya sasa ya kilo ya nyama...ndio utapata thamani ya hiyo hela kwa sasa ...Lugha chafu ya Nini sasa?
1.4m take home bado ni mshahara ndogo.
Siko hapa kuongelea hayo....nilishatoka huko kwenye kuajiriwa...niko kwingine
Na kwa sasa hao madriller wanalipwa mili 4-5 nett pay...
Usishangae miner kumhonga mtumishi wa nssf milioni...maana anapata mafao makubwa ndani ya miaka michache tu.