Recent content by hehemnyalu

  1. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Maisha haya kweli hakuna anayeijua kesho yake

    Siku hazigandi
  2. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Ndio wameshakuja kubadilisha
  3. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Habari Tanesco Nimehamia kwenye nyumba Nina wiki mbili tangu nihamie ila kila niliangalia salio la umeme display inaandika error 77 au sleep na umeme upo ila sijui ni kiasi gani naombeni msaada wenu tafadhali
  4. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania SGR Dar Morogoro kuanza kutumika mwaka huu

    Hapotee mara ngapi?
  5. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Mama katembea na mume wa bintiye wa kuzaa kapata na mimba juu

    Nimeona ile video binti anasema baada ya kurudi safari tu mama akawa anamwonea aibu na kutokuwa na amani....nadhani mama nafsi ilimsuta
  6. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Hata M pesa nako wizi mtupu nilikopa m pawa 15.000/= ilinibidi nilipe ndani ya mwezi nikachelewa kulipa ...nikatumiwa pesa 150.000/= nikaamuwa Ngoja nipunguze deni nikatoka 10.000 kwenye mpesa nikatia kwenye m pawa nikalia deni....kilichofuata wamepokea 10.000 niliyolipa kwa hiyari ukaenda na...
  7. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Ila hivi vyeo hivi! Ishi na watu vizuri tu. Leo Gambo ni mwananchi wa kawaida kama wewe

    Mkuu akiamka vibaya[emoji3][emoji3]
  8. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Makampuni ya simu yameongeza gharama za makato katika huduma za kifedha, Serikali iingilie kati unyonyaji huu

    Lazima iume shekhe inakuja hiyo 150 iliyoongezeka inaenda kutoka ten au twenty lako
  9. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Kumekucha: Maji kutoka Ziwa Victoria mpaka Dodoma

    Wakumbushe tu kuwa wenzetu husimamia mikataba pale Mwanza kuna wamsiri kabisa na ofisi zao kwa ajili ya kutoa ripoti kwa serikali yao kile kinachoendelea pale ziwa Nyanza
  10. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Unaibiwa ndg mm nina jagi watts1200,pasi,ricecooker,microwave,TV ,Na fridge kwa siku haizidi unit 1 kwani kuna kisoma umeme kila mtu kufungiwa....unapigwa ndg Sent using Jamii Forums mobile app
  11. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Ndg sometimes ni mfumo mbovu wa umeme kama wiring ni chafu lazima mlie....pia vifaa used hasa mafridge yanakula sana umeme ambayo huku kwetu uswazi ndiyo yanatamba;nawashauri ndg zangu upande wa vifaa tusipende kunumua used vinatughalimu sana hasa mafridge Sent using Jamii Forums mobile app
  12. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Nimeambiwa na mpangaji mwenzangu kuwa tunatakiwa kuchangia kila mmoja Tsh. 30,000/-

    Wazo zuri sana ,Nakusahihisha kile kisoma umeme kinauzwa 25 mpaka 30 labda hiyo 50 na gharama za fundi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. hehemnyalu

    JamiiForums Tanzania Hili suala lazima likome, nimeona mtu anaangalia picha ya mkuu halafu akabinua mdomo akiwa katoa macho kwa ukali, kesho namripoti polisi

    May be fundi Maiko alihusika ktk ushonaji [emoji23][emoji23][emoji23] Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom