Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Aboubakar Kunenge atoa onyo kwa vikundi vilivyopanga kufanya vurugu

Mocumentary

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
768
1,959
Mkuu wa mkoa wa Dar esSalaam, Aboubakar Kunenge, ametoa onyo kwa watu au vikundi vya watu vilivyopanga kufanya vurugu na kusema kuwa, yeyote atakayejaribu kuvuruga amani kwenye mkoa huo atawajibishwa kwa mujibu wa sheria.

Dar.jpg
 
Wanzake wamesema maandamano ya AMANI yeye kwa akili yake ilivyo fupi, ametafsiri AMANI kama vurugu?

Pia, aliyemwambia ni vijana pekee watakaokwenda kwenye maandamano ni nani?
 
Na yeye anaonaje akiongoza mashambulizi dhidi ya waleta anazoziiita vurugu tumuone au nayeye nimpambananji ya mbele ya camera 🤣🤣🤣🤣
 
Lakini si wamesema maandamano ya amani.
Maanadamano gani ya amani yenye hila za kubatilisha maamuzinya watanzania? Watanzania wametoa maamuzi tarehe 28/10/2020 kuwa ni Dr Magufuli ndiye rais wa kuiongoza nchi hii kwa muhula mwingine wa miaka mitano. Ndiyo demokrasia hiyo ya haki.
 
Wanzake wamesema maandamano ya AMANI yeye kwa akili yake ilivyo fupi, ametafsiri AMANI kama vurugu?

Pia, aliyemwambia ni vijana pekee watakaokwenda kwenye maandamano ni nani?
Nendeni uwanja wa mpira afu zungukeni 360 mara zote mnazo taka ......kuandamana mtaani au barabara kuu mnazingua wenye biashara kandokando ya barabara na usumbufu barabarani kama kuwa na foleni kubwa
 
Naipenda nchi ya Tanzania naichukia serikali ya Magufuli
 
Nendeni uwanja wa mpira afu zungukeni 360 mara zote mnazo taka ......kuandamana mtaani au barabara kuu mnazingua wenye biashara kandokando ya barabara na usumbufu barabarani kama kuwa na foleni kubwa
Jishike kifuani halafu jiambie maneno kuwa WEWE NI MPUMBAVU.

Ushanipa hadhi ya kuandamana? Kwa akili zako ndogo unafikiri kila aliyechangia hapa ana mpango wa kuandamana?

Yaani niache kufanya mishe zangu nikaaandamane?

Hebu rudi usome post yangu uliyoi-quote Kisha ujione ulivyo zuzu.
 
Back
Top Bottom