Ila hivi vyeo hivi! Ishi na watu vizuri tu. Leo Gambo ni mwananchi wa kawaida kama wewe

Kupata vyeo vikubwa umri mdogo Napo tabu aisee Mana hapo inabidi atafte kazi nyingine Sasa. Waliosema cheo ni dhamana hawakukosea kabisa, mbaya kitakacho mtesa ni marafiki watamkimbia wote no more salute's hapo ndo shida
 
Kweli Im unique. Na mishe nazofanya hawezi fanya kama mimi kugombea ubunge vile
Mtu akiwa nje ya uwanja ni rahisi kuona mistake anazofanya mchezaji uwanjani, Lakini mtu huyo huyo akipewa hio nafasi achezee nae atalaumiwa vile vile kwa makosa yale yale... binaadam hatabiriki hata ukiishi na watu vizurije bado hawakosekani watu watakaokupinga life your life
 
Kupata vyeo vikubwa umri mdogo Napo tabu aisee Mana hapo inabidi atafte kazi nyingine Sasa. Waliosema cheo ni dhamana hawakukosea kabisa, mbaya kitakacho mtesa ni marafiki watamkimbia wote no more salute's hapo ndo shida
Kweli aisee hivi Mulongo Magesa anafanya nini sasa maana naye aliukwaa u RC akiwa na umri mdogo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Alikuwa anasema mama yake alikuwa akiuza uji kariakoo nadhani ni wakati muafaka wa kwenda kumsaidia mama
Mama alishafariki, apumzike kwa Amani! Pesa zote alizotengeneza tangu ikuu wa wilaya hadi wa mkoa, sitegemei awe mpika uji.
 
Malongo kachoka mbaya aisee huwezi amini ka ni yeye anaendesha zake mkweche, in short ana life gumu, I think hivi vyeo upate umri wa kustaafu ukajipumzike au uendelee na carrier nyingine ka una vigezo.
Noted.
 
Nimekaa nikatafakari sana, zile Salute, protocals, mashabiki, misafara, ving'ora, amri leo vyote vimezimika gafla kama mshumaa, hawezi kuamrisha tena, hawezi kutoa maagizo kwa yeyote zaidi ya familia yake, hana wa kumgombeza tena, kwa ufupi Gambo hapo alipo ni mwananchi wa kawaida kabisa kama ulivyo wewe msomaji wa Thread hii, hana previlage tena, vipaumbele vimetoweka gafla.

Hapa nimekuja kuamini, busara, utu, ukarimu, hekima, heshima ni vitu vya muhimu sana kwa yeyote yule atakaye pata mamlaka

Mamlaka ni ya muda tu ..Ishi na watu vizuri.
Nani kakwambia wote tunaosoma hii thread yako ni wananchi wa kawaida?
 
Nimekaa nikatafakari sana, zile Salute, protocals, mashabiki, misafara, ving'ora, amri leo vyote vimezimika gafla kama mshumaa, hawezi kuamrisha tena, hawezi kutoa maagizo kwa yeyote zaidi ya familia yake, hana wa kumgombeza tena, kwa ufupi Gambo hapo alipo ni mwananchi wa kawaida kabisa kama ulivyo wewe msomaji wa Thread hii, hana previlage tena, vipaumbele vimetoweka gafla.

Hapa nimekuja kuamini, busara, utu, ukarimu, hekima, heshima ni vitu vya muhimu sana kwa yeyote yule atakaye pata mamlaka

Mamlaka ni ya muda tu ..Ishi na watu vizuri.
Umenena aise

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom