Katikati ya hayo yote una wazo zuri la kuacha Fanya hivyo. Tafuta kila njia ya kuacha. Achana na vichochezi vyote. Zaidi sana ni dhambi na pia ni kinyume na maadili na ni hatari kwa afya yako. Nakushauri tafuta kanisa la kilokole nenda omba wakusaidie. Kama ni gumu kwako Mungu hashindwi usikate...
Atakuwa na stress za kurudi bongo. Tangu aende nje kafanya nini cha kusababisha barabara ijengwe? Aongeze nguvu tubadili fikra ya kuwanyooshea vidole wengine kwa mapungufu yetu huku wao wanaendelea kunenepa. Tuwawajibishe wasifaa kutuongoza kwa kura zetu. Na tuwapigie kelele hadi wawajibike...
Wewe uko wapi? Anyway nenda kwa garage yoyote wanazotengeneza BMW au vw au Benz watakusaidia pia gari za mjerumani usitumie oil za bei chee waulize best oil au agiza oil ya Audi Uganda zipo nyingi. Fundi makini unaweza mpa clip za YouTube akapiga kazi bomba tu. Wala usikimbizane na garama za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.