YANGA NAO WADAI POINT TATU ZA RUFAA YAO

Supervision

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
265
203
Baada ya kamati ya saa 72 kuipa simba pointi tatu baada ya game na kagera kuonekana kagera walimchezesha mchezaji mwenye kadi tatu.Hatimaye Yanga wameibuka na kudai mbona tufaa yao ni ya siku nyingi haikutolewa uamuzi?Kwani African Lyon walimchesha mchezaji wa mbao ambaye hakumaliza usajili.

Yanga wameenda mbali zaidi na kusema wanataka viongozi waliofanya maamuzi hayo kuchukuliwa hatua kali zq kisheria kwani hawakuwa na rekodi ya mechi hizo zinazodaiwa kuwa waamuzi walitoa kadi za njano mpaka pale waamizi walipoitwa kueleza mwenendo wa mechi hizo.

Na endapo shabiki wa yanga atatokea kukata rufaa ligi itasimama.

HEBU TUONE HII MIUJIZA YA SOKA LETU
 
Yanga wanapenda kusafiria nyota ya simba, walikua wapi kudai siku zote? TFF wawachunie tu
 
Hahaha soka siasa!!! Rudini uwanjani bana mtupe raha. Hii mambo ya yanga na Simba na soka siasa inatukwamisha sana Tz ktk soka
 
Back
Top Bottom