Recent content by Heavy Metal

  1. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Full Time | Senegal 1-1 Tanzania | TotalEnergies AFCON U-17 | Senegal Mabigwa baada ya mikwaju ya penati 4-2

    Hii mechi hawa madogo wala hawakutakiwa kufika matuta. Kuna nafasi nyingi sana za kuiua mechi madogo walikua wanalazimisha kufunga sehemu ya kumpasia mtu afunge kwa urahisi sasa sijui waliahidiwa zawadi binafsi kwa atakaefunga? All in all wamejitahidi kufika adi hapo bila siasa kuingia walikua...
  2. Heavy Metal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mambo ya kisheria unayotakiwa kuyajua kabla haujaamua kumuoa Single Mother

    Doooh! Hivi mbona ni vitisho sasa. Hizi Sheria zimeandikwa wapi Mkuu? Zipo kwenye Sheria ya ndoa? Haki za watoto? Katiba ya Jamhuri? ... Anyways hili ni katazo la kuoa ama kua na mahusiano na single mothers. Hawa watu mtawaua sasa maana kila kona wanaandamwa aiseeh 🤔
  3. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania KERO Tutorial Assistants wa School of Medicine and Dentistry wa UDOM tunafanyishwa kazi tofauti na tunazopaswa kufanya

    Kwa uelewa wangu as long as yuko kwenye academic institution na ni yuko kwenye academician cadre, muundo wa ajira/ kazi yake inamlazimisha kwenda kusoma adi afikie rank ya mwisho ya Elimu ambayo ni PhD. Otherwise itakua ni academic institution ya ajabu ambayo ina discourage wafanyakazi wake kada...
  4. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania KERO Tutorial Assistants wa School of Medicine and Dentistry wa UDOM tunafanyishwa kazi tofauti na tunazopaswa kufanya

    Omba ukasome Masters, imekuaje umekaa hapo na kuridhika kua tutorial assistant kwa zaidi ya mwaka? Ulitakiwa kuomba kwenda shule mwaka huo huo ulioajiriwa. Then mwaka utakaomaliza Master's ujitahidi urudi kazini ukiwa na admission letter kwa ajili ya PhD unafika kazini unaprocess barua ya ruhusa...
  5. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Namna ya kujilinda na kuwa salama unapokuwa Bar

    Nimesoma tips zote zilizotolewa..in short ili uende bar za kibongo lazima uwe unajua ngumi kidogo (hapa inabidi upitie mafia boxing wakupike kidogo), ni lazima ujue kukimbia (hapa Kipchoge na Simbu wanahusika), ni lazima uwe na silaha yoyote (sielewi labda upite JKT au mgambo), uende Bar...
  6. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Didier Drogba atinga bungeni kushuhudia uwasilishwaji wa makadirio ya Mapato na matumizi ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

    Arusha waliambiwa wataletewa Arnold Schwarzenegger; naona ameamua kuanza na Drogba kwanza kama intro....aiseeh hii nchi bhana🤔
  7. Heavy Metal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Deo Kisandu (Civilian Coin) atangaza kuoa mwanamke bikra

    Baada ya uchunguzi wangu mdogo nimegundua kua Asubuhi News ndo Deo Kisandu. Naona ameamua kuanzisha na gazeti kabsa. Ni hatua kubwa lakini nadhani kuna hatua za haraka zinatakiwa kuchukuliwa na watu wake wa karibu kwasababu naona hali inazidi kua mbaya. Inasikitisha sana na wala sio jambo la...
  8. Heavy Metal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Naweza Vipi Ku-deal na Mwanamke Mwenye Kiburi cha Pesa na Tabia ya Ubinafsi?

    Mzee,...huwezi kumnyoosha mtu mzima. Huwezi kumcontrol mwanamke ambae anazuia mamlaka na utawala wako. Kwakifupi huyo sio mwanamke wako ni mwanamke wa mtu mwingine. Wewe tafuta size yako, yupo mwanamke kwa ajili yako ila sio huyo. Huko unakoelekea unatafuta matatizo zaidi ya hicho kiburi...
  9. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania SirJeff(Ontario) wa Forex yupo Jela kwa kesi za kisiasa au alitengeneza mazingira hayo kesi za utapeli zilipozidi?

    Nimewahi kufanya kazi na mwamba mmoja yeye alikua mpigaji na akiona wadau wamemzonga sana anaenda hospital kitengo cha wagonjwa wenye matatizo ya akili anakaa huko wewe, akija kutoka anakuonesha cheti cha Daktari. Anyways hapa Duniani kila mtu ana mifumo yake ya namna ya kuishi. Ontario, JATU na...
  10. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini ni ngumu mwanaume kumuuliza mwanaume mwenzake jina

    Ukiwa mrefu Tolu, ukiwa bonge bonge BIGI, ukiwa mwembamba sana we ni KAGAME na kadhalika na kadhalika,..ni hayo tu!
  11. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Huyo alieruhusu mtumishi kukopa kwa miaka 10 ndo mjinga zaidi. Mtumishi hana biashara yoyote unamkopeshaje kwa miaka 10? Mikopo iwe mwisho miaka mitatu tu. Mtu anakopaje miaka 10 kwa kutegemea makato ya kwenye mshahara?
  12. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Serikali okoeni watumishi kwenye mikopo kupitia ESS, wengi hawana uelewa wa hii mikopo. Riba mpaka 40%

    Yani mkopo 18M, take home 17M afu urudishe 70M tena kwa miaka 10? Huo ni mkopo ama Bange? Hao UTUMISHI ni kenge kabsa hawawezi hata kufanya assessment kabla ya kuiweka hizo taasisi kwenye ESS system?
  13. Heavy Metal

    JamiiForums Tanzania Kuna kazi wanaozifanya sijawahi kuelewa huwa wanaishi vipi

    Kuna wale vibarua wanapiga 'daywork' kwenye viwanda vya bia, soda, au kwa wahindi kubeba viroba vya unga, mabox, viwanda vya nondo naskia wanalipwa 3000-5000 kwa siku; hawa nao tunawaweka kundi gani?
  14. Heavy Metal

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nampenda sana Najma Paul

    Wasukuma bhana,..nyie ndugu zangu hua mnaniangusha sana.
Back
Top Bottom