Recent content by HDS

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mengi na K-lyin got married in Mauritius

    mnamsifia wakati mengi ana mke wake wa ndoa? mi naona huyo jack kachemsha tu.
  2. H

    JamiiForums Tanzania ITV tuonesheni ndoa ya Mengi na Klyn!

    wataonyesha vip wakati ana mke wake wa ndoa.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

    huyo atakuwa msukule wa gwajima loooo huoni kama pengo katukanwa, acha umbulula
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya aina yeyote

    kipengele C sijakielewa kwani hao mareferees watatu kwenye CV si wanatosha au wanatakiwa wengine wawili???????
  5. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya aina yeyote

    sasa cv hiyo itakuwaje kama wanataka form four siitakuwa two page.
  6. H

    JamiiForums Tanzania Baba mbaroni kwa kuwabaka watoto wake wawili

    eeeh mungu atusaidie dunia imeharibika sana.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini wanawake wengi wanapenda kuvaa viatu vya wazi?

    unakuwa huru kutembea, tena ukute umebandika kucha za miguu basi viatu vya wazi vinapendeza
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Mzee Obed Masawe ''Masobe" hatunaye tena

    hata hivyo pombe si nzuri kwa afya. R.I.P mzee
  9. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta ajira, nina Diploma ya Community Development

    Husika na mada hapo juu, nina diploma ya community development nilimaliza chuo cha Rungemba Iringa mwaka 2011 naishi Dar es salaam naomba msaada tafadhali hata kwa kuvolunteer niko tayari.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    ukitoa kijiti unaweza kupata mimba muda gani?
  11. H

    JamiiForums Tanzania Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

    ukitoa kijiti unaweza kupata mimba muda gani?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Moto mabibo hostel

    chanzo cha moto ni ninu?
  13. H

    JamiiForums Tanzania usaili utumishi

    tan trade mbn walishaita ila hizo zingine bado
  14. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea

    hapo nimeshasema nilichosomea sasa sijui hilo ni swali gani unaniuliza sangara
  15. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kujitolea

    mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 29 nina dilpoma ya maendeleo ya jamii na nilimaliza mwaka 2012 nilikuwa naomba mwenye kujua sehemu wanazohitaji kujitolea ani pm pls.
Back
Top Bottom