Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

Pengo unamsamehe Gwajima kwa kosa gani?

Uwepo wa uzi wa wadaku ni bora kwani jf imefanywa kuwa uwanja wa udaku!!!
 
Nashangaa kusikia et askof Pengo anatangaza msamaha kwa askof Gwajima kwa kosa gani?,sioni kosa ktk ile audio,kinacho takiwa Pengo awaombe msamaha maaskof wote walioket kama baraza,pia awaombe msamaha wananch sababu Pengo ndiyo uliyo kosea, ndio maana Gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu gwajima ni mnyofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo co ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii,hivyo gwajima hanakosa mbinguni na duniani.


Umesikiliza alichokisema Askofu Pengo au umehadithiwa?.........................Na mwisho wa mahubiri yake Askofu Pengo aliagiza nini?..............
a) Waraka huo usambazwe jimboni kwake (Jimbo analotawala la dar) yaani maparokiani na vigangoni au

b) Waraka huo usisambazwe katika jimboni kwake (Jimbo analotawala la dar) yaani maparokiani na vigangoni

Chagua jibu sahihi, ukitoka hapo utajadiliana vizuri na kujua lengo, ANAWEZA AKAWA KAKOSEA SANA KWA MUKTADHA WA MAKUBALIANO YENYE LENGO LA KISIASA, NA ANAWEZA AKAWA SAHIHI SANA KWA MTAZAMO WA KIIMANI ZAIDI.
Naomba hiv vitu sisi watu wazima tusikilize kauli zote afu tusiwe na jazba, hiv wote tungekuwa na majibu mnayodai ya Mungu mambo yangekuwaje? kauli mlipuko. gwajima huenda alikuwa sahihi saana kwa kutumia moja kati ya mitazamo miwli hapo juu.

Hv Mungu angekuwa na ukali wa kipumbavu kama huo wa Askofu Gwajima tungepata msamaha kweli,afu si kuna imani kwanini wasingesimama imara kuomba kama wafufuavyo misukule na Mungu kumwadhibu Pengo. watch out. mimi kwa mtazamo wangu Pengo alikosea, hasa kusemea hadharani mawazo yake wakati wamekubaliana hivo, huo ni mtazamo wa kiumoja na huenda wa kidunia zaidi na hekima ya dunia hii wengi wape. hebu soma alichoeleza pengo hapo chini chanzo

Akifungua mafungo ya Wanawake Wakatoliki Tanzani, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Kardinali Pengo alisema, “..sisi maaskofu hatuna mamlaka ya kulazimisha wakristo au waamini pamoja na watu wengine… kuwalazimisha watende kitu kinyume cha dhamiri yao.”
Kardinali Pengo alikuwa akizungumzia matamko mawili, ya Jukwaa la Wakristu na la Baraza la Maaskofu Tanzania.
Hata hivyo, Kardinali Pengo amekiri kuwa viongozi waliotoa matamko hayo, ni watu wakubwa sana; wamekabidiwa madaraka makubwa katika kanisa na hawawezi kupuuzwa kwa sababu matamko yao wameyatoa baada ya tafakari kubwa.
Amesema, “Jambo ambalo ningependa kila moja wetu atambue ni hili; kwamba matamko yote mawili yanaashiria mgawanyiko wa taifa letu, kati ya wakrtisto na wasiokuwa wakristu.”
Amesema, “Lazima tulitambue na tutambue kwamba matamko haya yanaweka Jumuiya ya Wakristu dhidi ya serikali ya nchi yetu ya Tanzania. Haya mambo mawili lazima tuyatambue wakati tunasoma matamko haya…”
“…Nikiwa katika hali hii ta ukamilifu nililetewa nakala hii iliyopo hapa mbele yangu, nikaulizwa je, isomwe katika makanisa ya maparokia zote katika Jimbo Kuu la Dar es salaam? Nikasema mimi ni nani kupinga jambo ambalo limeshatamkwa na maaskofu wote. Kwa nini nizuie, hata nikizuia yamechapwa katika magazeti na yatachapwa katika magazeti. Kwa nini nizuie waamini wakatoliki katika parokia zao wasijue haya yaliyoandikwa, sina sababu.”
Kardinali Pengo amesema, “Lakini nililonalo ambalo ni muhimu kwangu kama mchungaji ni kutoa maoni yangu mbele yenu kuhusu barua zote hizi mbili. Barua zote mbili kama nilivyosema zimetengenezwa kutokana na umakini wa hali ya juu, lakini sisi maaskofu hatuna mamlaka ya kulazimisha wakristo…”
Amesema, “Tungekuwa na mamlaka hayo tukawa tumeyapokea kutoka kwa Mwenyezi Mungu, tungemwuliza mwenyezi Mungu kwa nini hujatumia mamlaka hayo watu wanaendelea kutenda madhambi na wewe unawatazama.”
Lakini kwa sauti njia ya unyenyekevu, Askofu Kilaini, ambaye amewekwa Wakfu na Kardinali Agnelo Rossi mwaka 2000 amesema, “…Uhuru wamenisingizia. Sina mamlaka ya kupingana na kanisa na wala ndani ya moyo wangu sijawahi kuwa na dhamira ya aina hiyo.”

NAOMBA TUTAFAKARI, HIVI KWELI KIIMANI PENGO KATENDA KOSA HAPO JUU?
 
Pengo amevaa pempars!!
askofu anayenunulika! askofu!
Heko Gwajima kwa hili mamilioni ya raia tuko nyuma yako!!
 
Kama huoni kosa wala tusi kwenye mahubiri ya Gwajima, Basi Ninawasiwasi nyie waumini wake huwa anachapa viboko kanisani na mnashangilia.
 
nashangaa kusikia et askof pengo anatangaza msamaha kwa askof gwajima kwa kosa gani?,sioni kosa ktk ile audio,kinacho takiwa pengo awaombe msamaha maaskof wote walioket kama baraza,pia awaombe msamaha wananch sababu pengo ndiyo uliyo kosea, ndio maana gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu gwajima ni mnyofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo co ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii,hivyo gwajima hanakosa mbinguni na duniani.
unatupa wasiwasi
hebu rudia kusema tena.
 
Nashangaa kusikia et askof Pengo anatangaza msamaha kwa askof Gwajima kwa kosa gani?,sioni kosa ktk ile audio,kinacho takiwa Pengo awaombe msamaha maaskof wote walioket kama baraza,pia awaombe msamaha wananch sababu Pengo ndiyo uliyo kosea, ndio maana Gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu gwajima ni mnyofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo co ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii,hivyo gwajima hanakosa mbinguni na duniani.

Waumini wenye mawazo ya namna hii ndio wanaosababisha hata baadhi ya watu duniani kutoamini kama kuna Mungu.
 
Nashangaa kusikia et askof Pengo anatangaza msamaha kwa askof Gwajima kwa kosa gani?,sioni kosa ktk ile audio,kinacho takiwa Pengo awaombe msamaha maaskof wote walioket kama baraza,pia awaombe msamaha wananch sababu Pengo ndiyo uliyo kosea, ndio maana Gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu gwajima ni mnyofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo co ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii,hivyo gwajima hanakosa mbinguni na duniani.

Kosa kama unalolifanya wewe hapa..Kiburi,
 
Lugha aliyotumia gwajima ni kali lakini Pengo alikosea. amewakosea Wakatoliki, amewakosea Wakristu, amewakosea wasio wakristu.

Pengo anajua fika mapungufu yaliyo kwenye katiba pendekezwa lakini kwa sababu zake binafsi anatumia nafasi yake na ushawishi wake kwenye jamii kuwapeleka wanaomwamini kuipitisha katiba hiyo kama kondoo apelekwavyo machinjioni.

Nadhani hili limeudhi watu wengi
 
Nashangaa kusikia et askof Pengo anatangaza msamaha kwa askof Gwajima kwa kosa gani?,sioni kosa ktk ile audio,kinacho takiwa Pengo awaombe msamaha maaskof wote walioket kama baraza,pia awaombe msamaha wananch sababu Pengo ndiyo uliyo kosea, ndio maana Gwajima akashindwa kukuvumilia/kukuogopa kama wanavyofanya wengine sababu gwajima ni mnyofu aliamua kunyika kukupasha ukweli kwa lugha ambayo co ya kinyenyekevu sababu kosa lako ni kubwa ktk jamii,hivyo gwajima hanakosa mbinguni na duniani.


Hivi nyie wote mnaandika haya mkiwa mnajua mnachoandika au ni hizi injili nyepesi nyepesi ndio zinawafanya muwe mnapost tu maneno tu? Pengo na Gwajima wote hawa wana makosa kwasababu walichofanya sio ukristo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alio uanzisha....
 
Hakika kwenye nchi hii kama wapenda mabadiliko tukiwa na akili kama ya huyu mleta Uzi, hatuwezi kusonga mbele kwa namna yoyote ile. Ni mwenda wazimu tu, ndio anaweza kuleta Uzi kama huu. Sasa ndio napata picha kwanini huwa wanalia hovyo kama wajinga.
 
Mkuu, naomba kujulishwa, ni mahubiri gani au tamko lipi ambalo Mwadhama Kardinali Pengo alitaja neno kumsamehe Gwajima?

Shenze sana, unanivurugia mood yangu kwa avatar yako mpaka naishia kuiangalia weee na kucheka sana
 
mkilishwa yamini pale ufufuo na uzima mnakuwa kama mazezeta?

Unafikiri haya mazezeta ni ya Ufufuo na Uzima? Tuulize sisi tunaopita humu mara kwa mara tukwambie tabia za wajinga wa humu.

Hawa yamini wanakula ya ufipa wala sio kwa gwajima. Ni mihemko ya kisiasa ndo inawafanya hivyo. Gwajima angetoa kinyume na tamko lile basi haohao ndo wangekuja kumtusi na kumtukana hapa.
 
Hivi nyie wote mnaandika haya mkiwa mnajua mnachoandika au ni hizi injili nyepesi nyepesi ndio zinawafanya muwe mnapost tu maneno tu? Pengo na Gwajima wote hawa wana makosa kwasababu walichofanya sio ukristo ambao Bwana wetu Yesu Kristo alio uanzisha....

Kosa la Pengo kwa imani ya kikristo ni lipi,kwani hiyo katiba ni ya kanisa au ya nchi,mwenye makosa ni huyo aliyeporomosha matusi eti sababu ya katiba ya nchi,mbona hakasiriki watu waposhindwa kuifuata katiba ya Mbinguni (Biblia)
 
Mmomonyoko was maadili Tanzania umefanya mpaka viongozi wa dini wasio na kiasi na wanaotumia lugha chafu zilizojaa ujivuni na ushari kuonekana wanyoofu kwa wenye utapiamlo wa maadili.

Hata kama Pengo alikuwa kakosea -which is highly debatable- vile Gwajima alivyobwabwaja hata sie tusio na dini wala kuamini kuwapo kwa mungu tumemuona kachafua jina la viongozi wa dini.

Kama viongozi wa dini ndio hawa wenye kauli chafu kama kina Gwajima bora nibaki sina dini tu.

Kwa sababu huyo kiongozi wa dini mwenyewe naona kama hana cha kunifundisha, labda mimi nimfundishe yeye kuongea kwa kiasi na busara.

Kati ya watu wenye bahati mbaya duniani na wewe umo,Gwajima alimtusi wapi huyo pengo? wewe na elimu yako hujui kutofautisha kati matusi na sifa,(adjectives) maneno kama,mjinga,mpumbavu,mpuuzi,si matusi ni sifa (adjectives) kwa kuwa huna hofu ya Mungu ndani yako ndo maana hata elimu uliyonayo imeshindwa kukusaidia kabisa,kinyume cha hekima ni nini? hekima-pumbavu,sasa hapo tusi liko wapi
 
Hata mimi sioni kama Gwajima kakosea. Huyo Kardinali Pengo sijui mwanya ndio anatakiwa aombe msamaha kwa maaskofu.
 
Back
Top Bottom